Wakuu mnaonaje speed ya internet kwa sasa hasa hapa morogoro mimi kiukweli iko slow sana tangu mvua zianze kunya aisee torrents zangu hazijaisha duh halotel,voda,na airtel mnaboa
Sawa tumejua wewe ni mwanafunzi wa chuo cha kilimo( Sio chuo kikuu) achana na maswala ya torrents kutomalizika (bila shaka hizo ni movie) acha masuala ya kuiga kuangalia movie bila shaka umtokea kijini na huo ni ushamba wa kiwango cha lami jitahidi na madesa utoke na GPA nzuri apo ndipo msingi wa wanaoiyona elimu ni mkombozi wa maisha wanachoangaika nacho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.