Ila huyo wa hesabu hana kosa..jibu ni sahihi kabisa
Ukikuta mtu anafuja chakula muoneshe hii picha
Dogo kazngua [emoji1][emoji1][emoji1]Ticha mwnye ni balaaIla huyo wa hesabu hana kosa..jibu ni sahihi kabisa
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Dogo ni geniusDogo kazngua [emoji1][emoji1][emoji1]Ticha mwnye ni balaa
[emoji23][emoji23]kipaji toka udogoniHuyu akikuwa kupiga chabo kwako ni jambo dogo sanaView attachment 1669968
Mungu amfanyie shufaa awe salama huko alipoNdugu zangu, Nasikitika kuwajulisha kuwa binti yangu Site Faith ametoweka nyumbani tulipokuwa tukimuandaa kurejea shuleni. Anasoma St Agustine Tagaste anapotakiwa kuanza Kidato cha nne. Tunadhani hakupenda kuendelea na Shule hiyo akidai they are too strictView attachment 1674396