Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

9e07675c0e5ba26d5beaa1260c3aecaa.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee brother kuna picha moja kati ya zile za mwanzoni ni kabinti kanaponda kokoto yaan daah imeniumiza hiyo picha,nimehisi moyo kuumia kuliko kawaida. Mungu muumba akamwelekezee mkono wake huko aliko kama hiyo picha ni halisi@mshana jr
Yeah ndio maana kwenye heading nikasema hasi na chanya.... Mungu ana kusudio lake kwa kila uumbaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom