CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Dec 28, 2014 #2 Daddito watu8 unaitwa huku.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Dec 28, 2014 #3 Unamtakia mema kweli? Hatokuwa nane tena hiyo ni kumi na mbili
G geophysics JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 904 Reaction score 167 Dec 29, 2014 #4 Siwezi tamani hii pikipiki iingie Bongo...watu watasagika kama mahindi barabarani....
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,156 Reaction score 40,953 Dec 29, 2014 #5 Boda boda zikishafikia huko itabidi abiria tuanze kupewa tiketi....ikifuatiwa na uzalishaji wa viungo bandia uongezwe maana ni wakati ambao vitakuwa na soko sana sambamba na magongo...
Boda boda zikishafikia huko itabidi abiria tuanze kupewa tiketi....ikifuatiwa na uzalishaji wa viungo bandia uongezwe maana ni wakati ambao vitakuwa na soko sana sambamba na magongo...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,376 Reaction score 111,704 Jan 2, 2015 #6 Mkuu bila shaka hii ni zawadi ya mwaka mpya :becky:
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 2, 2015 #7 mafuta yatatosha watu8?