Sperm Race: Mashindano yafanyika kwa mara ya kwanza Los Angeles

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,086
Reaction score
10,355
Oyaaah, wazee wa kazi. Tutunze afya zetu aisee!!!
Naiona fursa ya kupiga pesa ileeeeeee inasogea.

Huko USA wazee wa kazi wamekuja na mashindano ya riadha ya manii, sampuli za WAZUNGU zinachukuliwa kutoka kwa washindani, zinawekwa kwenye kifaa cha microscope vijusi vilivyomo kwenye WAZUNGU vinaanza kukimbizana to the finish line.

Oya acha kupiga puli kiboya, tunza mali hizo, unaweza kukuta utajiri wako umekaa kwenye mfuko wa korodani weh haujui.

‘World’s first sperm race’ held in Los Angeles
 
Wamarekani ni wasenge.

Wanaanzisha ujinga wao, halafu wanahusisha dunia.

Eti World', yaani mchezo wa dunia

Kwasababu jambo liko Marekani ndio liwe la kidunia
 
Wamarekani ni wasenge.

Wanaanzisha ujinga wao, halafu wanahisha dunia.

Eti World'

Kwasababu jambo liko Marekani ndio liwe la kidunia
😂😂😂
Marekani ndipo unapoweza kuwapata pure narcissist people on the planet.
 
Nilifikiri nishaona dhambi zote daah!!
 
Back
Top Bottom