Speed ya Internet ya Vodacom

Speed ya Internet ya Vodacom

Alex Muta

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
154
Reaction score
44
Screenshot_2017-12-23-22-53-07.png
 
Kutoka saanane mchana,hadi sasa 22:58,naendelea kuibiwa mb.ivi hawa tcra hili haliwahusu?au hadi tusubiri ttcl watapomtia chumbani mwali wao airtel!!
 
Kutoka saanane mchana,hadi sasa 22:58,naendelea kuibiwa mb.ivi hawa tcra hili haliwahusu?au hadi tusubiri ttcl watapomtia chumbani mwali wao airtel!!
If I ask, unatumia hio network ukiwa mji gani mdau?
 
IMG_20171224_002135.jpg

Speedtest kwenda server za MTN Pretoria sio local Voda servers.
 
Labda na simu yake. Maana mm nanunua 5gb kwa 2000. Kwa vile ni heavy utube user ndani ya wiki tu huwa zimeshakatika
 
Voda walikuwa zamani siku hizi hapana, mm nimeshachana nao.
Huko nyuma nilikuwa hata na stream mpira lkn siku hizi
 
Tatizo sio mtandao,tatizo itakua ni App uliyotumia kupakua hilo file.Embu jaribu kutumia UC mini hapo uone mziki wake
 
Back
Top Bottom