Speed ya internet ya Airtel ni hatari!!

Speed ya internet ya Airtel ni hatari!!

Tigo nimeona wameorodhesha LTE band 20 kwa hiyo freq ni 800mhz ambayo smile nao wanatumia hiyo hiyo. na wanasema lazima uwe na sim card mpyya watakakazo zitoa ndio zina support 4g LTe.
asante sana mkuu Device yangu ina cover 800mhz na inasoma line ya Smile ila nimesoma page yao naona kupata hiyo SIM card lazima ufanye Pre-order
 
nafikiri still kuna basic concept ya bytes na bits hujaijua.

speed unayoiona hapo kwenye tubemate ni bits sawa na kwenye dashboard ya modem.

speed inayoonekana kwenye idm na kwenye torrent ni bytes.

bits 8 = byte 1

hivyo ukiona idm yako inaonesha 300KB/s basi kwenye tubemate ingeonesha 2.4 mbps

kwa jamaa hio 16mbps basi kwenye idm ungeona 2MBps tu

utajuaje hii ni bit na hii ni byte? angalia kama wametumia herufi kubwa au herufi ndogo.

KB=kilobyte
kb=kilobit

mkubwa unajua mpaka raha
 
Jifunze kuheshimu wenzio na mambo yao binafsi, ugumu wa maisha haupo kwa kila mtu we unalia bundle limepanda wenzio hawaoni taaabu yoyote hivyo twatofautiana kama binadamu. Kweli wewe ni mpinga shetani , japo shetani amekutawala hadi kwenye fikra zako
acha ubishi
kwanini usiamini na ya wenzako
Airtel ni waongo haswaaaa
mm nimekaa tangu asubuhi hakuna mawasiliano yoyote ya Internet na wamenipa Mb-1024
hapa Dodoma ni Vodacom ina speed ya ajabu na haikati
kwa hiyo kubali unawa-Promot Airtel na sio mambo ya kishetani
ukitaka kutangaza kampuni la airtel kubali na kukosolewa USIPINGE kila kitu eti Aitel airtel AIRTEL
 
Sasa na wewe hapo tuseme unawapa promo Vodacom? Mimi mbona nina Airtel na sina matatizo yoyote? Huna mawasiliano yoyote peke yako? Mbona ipo poa sana...
 
Sasa na wewe hapo tuseme unawapa promo Vodacom? Mimi mbona nina Airtel na sina matatizo yoyote? Huna mawasiliano yoyote peke yako? Mbona ipo poa sana...
unaelewa kuwa Makampuni yote ya simu yanapewa access na Provider mmoja?
Basi ninyi mnakaa chini ya Minara au nguzo za Airtel ndio maana tunapishana
hebu jaribu kuhama hilo eneo na uende linalotawaliwa na tiGo
 
Airtel wanachosha sana!
Walikuwa wa kwanza Wilayani! Lkn wamekuwa wa mwisho ku-upgrade huduma zao huko mawilayani(mikoani) tofauti na tigo ambao mtandao wao ni wa 3G karibia wilaya zote nchini!
 
Airtel ni mwisho wa matatizo hii ni speed nayopata karibia kila siku.
mimi natumia net ya zantel,ni noma sana.na preview youtube videos kama natazama TV.hatari sana
zantel.jpg
 
Back
Top Bottom