Speed ya internet ya Airtel ni hatari!!

Speed ya internet ya Airtel ni hatari!!

Japo nikiwa ndani ya nyumba speed inapungua sana, nikitoka nje ni balaa kama unavyoona kwa screen shots

Huku niliko tigo mtaisoma namba !! Inaenda mpaka 30mbps.. at one point juzi mshikaji alikuwa anadownload midnight iligota 50mbps ... sijaamini!!!!!
Ingawa inaflactuate lakini ni balaa!!!
 
Ngoja nikuambie kitu labda uenda ufahamu vizuri, siri ya mtungi season 1 ni episodes 13, na msimu wa pili ni hivyo hivyo, soo wanapo sema msimu wa pili ni muendelezo kuanzia episode ya 14 hadi ya 26.

asante sana, ngoja niicheki youtube naona niliyokuwa nayo kweli imeishia episode 13. na youtube nimeona hadi episode 25 na episode zingine zingine
 
Speed ya torrent nayo siyo mbaya sana.
 
Attachments

  • 1430031525045.jpg
    1430031525045.jpg
    31.9 KB · Views: 255
  • 1430031609221.jpg
    1430031609221.jpg
    32.2 KB · Views: 235
Airtel ni mwisho wa matatizo hii ni speed nayopata karibia kila siku.

tubemate hyo mkuu ,ukitaka kupima speed jaribu kwa hyo bittorrent uone speed yako ilivyo..almost mitandao yote ukitumia tubemate utajiona una speed.
 
Nadhani umeona screen shots za torrent hapo juu, kumbuka uwezi kulinganisha speed ya live download na torrent ambayo speed yake unapata kutegemeana na seed's
 
tubemate hyo mkuu ,ukitaka kupima speed jaribu kwa hyo bittorrent uone speed yako ilivyo..almost mitandao yote ukitumia tubemate utajiona una speed.

huwezi kupima speed kwa kutumia torrent sababu speed unayopata kwenye torrent ina factor nyingi ikiwemo kuwepo kwa seeder wa kutosha. watu wawili wenye internet zenye speed sawa watadownload kitu torrent kwa speed tofauti ikiwa mmoja ana seeder wengi na mwengine anao wachache.

njia nzuri ya kupima speed ni youtube kama jamaa alivyoleta sababu server zao zinakupa unlimited speed kadri mtandao wako utakavyoweza kupakua
 
Ahsante mkuu kumpa ufafanuzi mzuri.
 
hta seeder wawe wengi vp huwez kupata speed inayoonekana hapo kweny tube mate,nilitaka ujue kua tubemate sio kigezo kikubwa sana..kwa hali ya kawaida hata IDM huwez pata hiyo speed.labda tujadili inakuaje tubemate ifike eti 16mbs at the same time unajikuta una 300kbs kwa downloader zingine
 
nafikiri still kuna basic concept ya bytes na bits hujaijua.

speed unayoiona hapo kwenye tubemate ni bits sawa na kwenye dashboard ya modem.

speed inayoonekana kwenye idm na kwenye torrent ni bytes.

bits 8 = byte 1

hivyo ukiona idm yako inaonesha 300KB/s basi kwenye tubemate ingeonesha 2.4 mbps

kwa jamaa hio 16mbps basi kwenye idm ungeona 2MBps tu

utajuaje hii ni bit na hii ni byte? angalia kama wametumia herufi kubwa au herufi ndogo.

KB=kilobyte
kb=kilobit
 
TECNO hiyo si unaona GPS iko active.

Hakuna kitu kibaya kama kukariri.
Ameshasema airtel moja kwa moja ungekuwa mtumiaji wa huo mtandao ungeliona hilo tatizo ila wewe unaoneka dhahiri ni hater wa tecno.
GPS kuwa on nikawaida endapo utatumia line ya airtel za hivi karibuni.
 
Huku niliko tigo mtaisoma namba !! Inaenda mpaka 30mbps.. at one point juzi mshikaji alikuwa anadownload midnight iligota 50mbps ... sijaamini!!!!!
Ingawa inaflactuate lakini ni balaa!!!

Hii itakua Tigo 4G LTE emu nieleze zaidi kuna special Sim Card inaitajika kupata hii kitu ya 4G au?
Maana ninayo modem ya 4G Universal japo haisomi bands zote ila nki set LTE only napata No service
Na je uko maeneo yapi?
Naisaka kwa udi na uvumba hii kitu
 
nafikiri still kuna basic concept ya bytes na bits hujaijua.

speed unayoiona hapo kwenye tubemate ni bits sawa na kwenye dashboard ya modem.

speed inayoonekana kwenye idm na kwenye torrent ni bytes.

bits 8 = byte 1

hivyo ukiona idm yako inaonesha 300KB/s basi kwenye tubemate ingeonesha 2.4 mbps

kwa jamaa hio 16mbps basi kwenye idm ungeona 2MBps tu

utajuaje hii ni bit na hii ni byte? angalia kama wametumia herufi kubwa au herufi ndogo.

KB=kilobyte
kb=kilobit

hapo kidogo nmekuelewa..basi swala sio airtel kumbe ni hzo herufi ndogo ndo znapagawisha mpka kujiona una speed
 
Airtel ni mwisho wa matatizo hii ni speed nayopata karibia kila siku.

kwani upo wapi mkuu? yaani kama upo hapa dar maeneo gani? mimi nipo kijitonyama karibu na shule ya msingi yaani ni majanga nafikiri ni maeneo na maeneo??
 
Nina mpango wa kuhamia airtel. Sababu kubwa ni internet tu, tigo ni majanga.
 
Hii itakua Tigo 4G LTE emu nieleze zaidi kuna special Sim Card inaitajika kupata hii kitu ya 4G au?
Maana ninayo modem ya 4G Universal japo haisomi bands zote ila nki set LTE only napata No service
Na je uko maeneo yapi?
Naisaka kwa udi na uvumba hii kitu

Tigo nimeona wameorodhesha LTE band 20 kwa hiyo freq ni 800mhz ambayo smile nao wanatumia hiyo hiyo. na wanasema lazima uwe na sim card mpyya watakakazo zitoa ndio zina support 4g LTe.
 
Back
Top Bottom