Speed ya internet ya Airtel ni hatari!!

Speed ya internet ya Airtel ni hatari!!

romarry

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
65
Reaction score
22
Airtel ni mwisho wa matatizo hii ni speed nayopata karibia kila siku.
 
Attachments

  • 1429944040275.jpg
    1429944040275.jpg
    38.9 KB · Views: 1,262
  • 1429944100207.jpg
    1429944100207.jpg
    38.7 KB · Views: 1,101
  • 1429944145623.jpg
    1429944145623.jpg
    38.7 KB · Views: 1,063
Duuuuh!! Kweli hiyo noma, halafu naomba uniambie siri ya mtungi unadownloadia site gani?
 
Labda nitoke nje ya mada kidogo mkuu,unatumia simu gani?
 
Hiyo tubemate mkuu lakin inategemea na sehemu huku mbezi tigo iko poa kuliko mitandao yote
 
Wewe utakuwa ni meneja wa Airtel unatoa promo baada ya wizi wenu wa kupandisha bei ya vifurushi kinyemela. Na umepewa ofa ya ofisini ndiyo maana unatumia data ku download vitu vya kijinga kama Maigizo ya kibongo bongo... Eti siri ya mtungi. Ptuh! Mtu aliyetoa hela yake hawezi kuchoma bundle kwa bongo muvi. Hata kama una download kwa ajili ya girlfriend wako
 
Hiyo tubemate mkuu lakin inategemea na sehemu huku mbezi tigo iko poa kuliko mitandao yote

Yeah ni kweli inategemea na location mkuu, but kwa baadhi ya maeneo mengi ya Dar naona speed yao ni nzuri tu
 
Wewe utakuwa ni meneja wa Airtel unatoa promo baada ya wizi wenu wa kupandisha bei ya vifurushi kinyemela. Na umepewa ofa ya ofisini ndiyo maana unatumia data ku download vitu vya kijinga kama Maigizo ya kibongo bongo... Eti siri ya mtungi. Ptuh! Mtu aliyetoa hela yake hawezi kuchoma bundle kwa bongo muvi. Hata kama una download kwa ajili ya girlfriend wako

Hayo wasema wewe mkuu ni haki yako kusema hivyo. Maisha ni jinsi unavyochukulia wewe binafsi, kuna wengine wanaunga bando wanadownload porn na mambo mengine hizi zote ni starehe za mtu binafsi .

Jifunze kuheshimu wenzio na mambo yao binafsi, ugumu wa maisha haupo kwa kila mtu we unalia bundle limepanda wenzio hawaoni taaabu yoyote hivyo twatofautiana kama binadamu. Kweli wewe ni mpinga shetani , japo shetani amekutawala hadi kwenye fikra zako
 
Last edited by a moderator:
Airtel ni mwisho wa matatizo hii ni speed nayopata karibia kila siku.

Inategemea na eneo na aina ya kifurushi.

By the way hiyo unayoshusha na siri ya mtungi msimu upi?
 
Unaipata kwenye torrent au wapi. Coz naona msimu huu wamegoma kuiweka youtube, naihitaji sana mkuu

Ngoja nikuambie kitu labda uenda ufahamu vizuri, siri ya mtungi season 1 ni episodes 13, na msimu wa pili ni hivyo hivyo, soo wanapo sema msimu wa pili ni muendelezo kuanzia episode ya 14 hadi ya 26.
 
Back
Top Bottom