Speed ya internet Vodacom imetulia

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
Wakuu, nimetembea tembea baadhi ya mitandao ila kwa kweli kwa hii speed ya Vodacom kwa sasa inanifanya nisite kuhamia mtandao mwingine kwa maana natumia hotspot ya simu yangu kuaccess kwenye mashine lakini inanifanya niendelee kufurahi na kushusha madude.
 
May b,,,bt speed inadepnd na location ulipo,
 

Hiyo ndogo sana kwa Airtel mkubwa
Airtel wana Peak mpaka 2.5MB/sec ila walau 2MB/s(16Mbps) ni Must

Bila shaka simu yako ina HSPA+ enabled

Pia siku nyingine ukitaka Kutengeneza picha ya kushare na watu ya Camera sio nzuri jaribu kutumia "Snipping tool" ni nzuri sana na inaonesha picha more clear than ulio post
 
Voda imetulia sana, hasa uki compare na tigo, voda iko faster sana,
 
mi natumia modem majanga tupu kwa kweli,
 
huku mwanza voda safi, airtel viazi
 
Kwa hapa nilipo naipa heshima voda ila migharama tu ndio shida
 
airtel ni bei tu mi soon nahamia voda
 
Aitel nawashangaa sana eti Kibaha makao makuu ya mkoa hakuna 3G mnachekesha kweli hamko seriously ngoja voda wazid kuwafunika hamjitambui, na hata makao makuu ya wilaya hawana 3G mfano Mafinga, Iringa. Amkeni mtabakia na wateja wa vijijini tu!!!
 
Nipo dar naikubal sana airtel kuliko voda na tigo. Modem za voda na tigo nimezitupa kwa sasa natulia tu airtel na bahati nzuri kwa sasa natumia simu ndo kabisa najiongezea tu kwenye vocha yangu ya airtel then nafanya tethering wazungu hao wanakuja.
 
Mkuu ushawahi tumia halotel? Hutorud voda tena...ila voda wazur kulinganisha na airtel na tigo
 
Yaani mi halotel napata 14mb/sec siku hiyo nilidownload 66mb per minute
 
Kuna baadhi ya maeneo kama huku Sinza kwa Mwaibula voda iko hovyo. Pengine ni tatizo la kwenye Mnara. Lakini kiukweli iko very poor
 
Kwa eneo nililopo voda nowdays ndo ipo fresh.. Airtel nilishindwa hata kufungua fb kwa operamini. Halotel pia inazidiwa na voda. So, voda wamerekebisha net yao. Wapo vyema sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…