Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Mkuu kuna haja ya kufanya live experiment ya hii kitu ili kuappreciate ukweli!Concept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
Hiyo reference sio valid, ni mjadala wa watu waliosoma HKL.Mzee baba argument yangu iko supported na reference hapo juu,hebu nenda kasome kwanza hiyo reference halafu uniambie umegundua nini!
Kuna tofauti kubwa kati ya acceleration and speed. Jaribu kusoma vitu hivi uvielewe mkuuBut wakati hilo kubwa likizunguka x100 lile dogo litazunguka x200
Live inafanyika kila siku sema hujaifatilia. Mkiwa kwenye kibao cha kulimit speed si mnatembea kwa speed chini ya 50 (au kulingana na maelekezo ya kibao) ushawahi ona gari kubwa inaipita ndogo?!?!Mkuu kuna haja ya kufanya live experiment ya hii kitu ili kuappreciate ukweli!
Mkuu we are very wrong,gari ambalo litasumbuliwa na air resistance inabidi litumie nguvu zaidi(mafuta) ili kuovercome hiyo resistance na kuendelea kubakia kwenye speed moja!!Air resistance ndio sababu kuu, upana wa tairi hapana.
Kwahiyo, tukiwa kwenye vibao vya speed mfano speed 50 wewe unaendesha basi kwa speed 48 na Mimi naendesha starlet kwa speed hiyohiyo unanipita kama nimesimama?!?!Mkuu mimi sijasoma art Wala science yako unayosema ila ni dereva wa magar makubwa nakuambia kitu practical,sijazungumza speed governor Nazungumzia speed ya gari from manufacturer,hizo youtong na zhongton zinazokimbia hapa TZ mwisho ni 120.
Lakini ikifika 100 Ww na gar yako ndogo ukiwa speed 120 atakupita Kama umesimama.
Lakini Elewa pia Ndio maana sehem unayoruhusiwa kuendesha juu ya speed 50 mwenye gar ndogo ataweza kwenda mpaka 140 lkn gar kubwa 80 kwa mujibu wa sheria
Huu ndo tuita utu uzima. Unakubali yanaishaMkuu we are wrong,gari ambalo litasumbuliwa na air resistance inabidi litumie nguvu zaidi(mafuta) ili kuovercome hiyo resistance na kuendelea kubakia kwenye speed moja!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo, tukiwa kwenye vibao vya speed mfano speed 50 wewe unaendesha basi kwa speed 48 na Mimi naendesha starlet kwa speed hiyohiyo unanipita kama nimesimama?!?!
Namaanisha visiwe kwenye kontena, viwe kama vilivyo, tusibishane tu tufanye kwa vitendo, nipe mrejesho.Fikilia unachokiandika Mkuu.
Hata mimi niliku nafaham hivyo, lkn nikabishiwa sana na watu wenqi kua hata kama speed itasoma sawa qari ina power kubwa so pikpk itaachwa tu.
Ndio upambane kuwaelimisha.Ukweli ni kwamba watafika pamoja.nimeuliz hapa sababu jamaa zanqu wenq kubisha kwamba pikpik itaachwa tu hata kam speed inasoma sawa.
Mkuu logic yako ya kwamba gari linalokubwa na vikwazo(kama vile air resistance,nature ya matairi,uchakavu wa gari e.t.c) litakuwa linatumia nguvu zaidi ili kumaintain the same speed na gari nyingine ambayo ipo kwenye speed hiyohiyo imeleta sense sana na kumaliza utata!Huu ndo tuita utu uzima. Unakubali yanaisha
Speedometer inasoma kutokana na mzunguko wa wheel lever, so hiyo air resistance au ukubwa wa tyre effects zake zote zitakuwa calibrated kwenye wheel lever na kusoma kwenye speedometer.You are wrong my friends,kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika!!
robot la matope...Yes sasa chukua pamba na mawe kama zilivyo tumbukiza kwenye maji utaona kama vitafika chini pamoja. Ile ya mawe itaanza nakwambia.
hahahahahaaaaIngekuwa ni hivyo matrafic barabarani si wangekuwa na tochi za aina mbili...za gari kubwa na ndogo
Mfano wa Albat ni irrelevant!!! Haundani na tunachojadili floatation ina sheria na kanuni zakerobot la matope...
hapo ushahama kabisa concept
wewe ushawahi zamisha pamba ndani ya maji?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfano wako ni irrelevant!! Hauendani na tunachojadiliNamaanisha visiwe kwenye kontena, viwe kama vilivyo, tusibishane tu tufanye kwa vitendo, nipe mrejesho.
Jiongeze na ndiio manamnabishana, kama unajua uzi ungekuwa clossed kitambo, hii ni sayansi, unabishana na kitu chenye kanuni yake, wawapi wewe?Mfano wako ni irrelevant!! Hauendani na tunachojadili
Kanuni gani Mkuu?!? Ubishi wako umekaa wapi?!?Jiongeze na ndiio manamnabishana, kama unajua uzi ungekuwa clossed kitambo, hii ni sayansi, unabishana na kitu chenye kanuni yake, wawapi wewe?
"Kph" ni universal SI unit.Mkuu soma hapa utapata mwanga kidogo,pia fungua hiyo link kwa maelezo zaidi ya kitaalam,hapa nimeweka kipande kidogo cha maelezo kutoka kwenye website husika:
Are you asking why the car accelerates faster than the bike at the same speed?
It's because the car's engine has a lot more power than the legs of the biker. The car is likely to have over 100 horse power while the biker doesn't have even 1. Not to mention the torque difference.The car is easily 100x more powerful than the biker.
Source:How the car overtakes a bike when both are travelling at a same speed?