Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Mzee baba argument yangu iko supported na reference hapo juu,hebu nenda kasome kwanza hiyo reference halafu uniambie umegundua nini!Mzee baba unataka kutuambia matrafiki wanatakiwa wawe na vipima mwendo kwa ajili ya kina Passo na vingine vya Scania?
nimekupata na hadi hapa sina shaka tena.kwanza kabla hujajibu hili swali inabidi ujue maana ya KM/H au hiyo 80km/h, maana yake ni nini nikufundishe
80km/h maana yake utembee/umalize km 80 ndani ya saa moja! sasa maana ya swali ni hivi!
gari likitembea kumaliza km 80 ndani ya saa 1 na pikipiki nayo ikitembea kumaliza km 80 ndani ya saa 1 ipi itawahi kufika! ???
the answer is very simple, wote watamaliza km 80 ndani ya 1 hr so wako sawa! no matter other factors maana kwenye swali tayari wamesema km 80 kwa saa 1
sasa mkuu unajua kuwa rpm ya pikipiki ni kubwa kuliko ya gari?kwanini zifike sawa rpm ya pikipiki haiwezi kua sawa na ya gari....the same kwa magari gari kubwa speed 80km/hr sio sawa na gari dogo
Wa pikpik mkuu,hivi Unafaham speed mita ya gar kubwa nyingi mwisho ni 120?sasa jiulize kama mwisho ni hivyo mbona linaweza kukupita kwa kasi na ww uko na gar ndogo speed 130
[emoji23] [emoji23] [emoji23] .... tuna safari ndefu sana kufikia uchumi wa viwanda.kwanini zifike sawa rpm ya pikipiki haiwezi kua sawa na ya gari....the same kwa magari gari kubwa speed 80km/hr sio sawa na gari dogo
never haziwezi fika pamoja....siku moja nimepitwa na basi nilikua speed 130-140rafik yanq nae alitoa evidence kama hii, ndio nikaamua kupost hii mada. mana hata mimi niliamin kua zote zitafika pamoja.
Hiyo link yako inazungumza kuhusu kutofautiana acceleration.. Aliye leta swali ana uliza wiwil wako speed sawa na haja uliza kama wameanza pamoja au laa.Mkuu soma hapa utapata mwanga kidogo,pia fungua hiyo link kwa maelezo zaidi ya kitaalam,hapa nimeweka kipande kidogo cha maelezo kutoka kwenye website husika:
Are you asking why the car accelerates faster than the bike at the same speed?
It's because the car's engine has a lot more power than the legs of the biker. The car is likely to have over 100 horse power while the biker doesn't have even 1. Not to mention the torque difference.The car is easily 100x more powerful than the biker.
Source:How the car overtakes a bike when both are travelling at a same speed?
never haziwezi fika pamoja....siku moja nimepitwa na basi nilikua speed 130-140
na mabus karibu yote dashboard yao mwisho 120km/hr
nimeuliz hapa sababu jamaa zanqu wenq kubisha kwamba pikpik itaachwa tu hata kam speed inasoma sawa.
Mjomba mbona mnapenda ku complicate mambo yalokuwa rahisi? kama vyombo vyote vinakwenda 80km/hr tena iweje mmoja afike mwanzo.kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
Hivi kilo moja ya mawe na kilo moja ya pamba hipi ni nzito?!?!
Fikilia unachokiandika Mkuu.Yes sasa chukua pamba na mawe kama zilivyo tumbukiza kwenye maji utaona kama vitafika chini pamoja. Ile ya mawe itaanza nakwambia.
Air resistance ndio sababu kuu, upana wa tairi hapana.You are wrong my friends,kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika!!
Mkuu wewe ndiyo nimekuelewa vizuri sana!![emoji122][emoji122][emoji122]kwanza kabla hujajibu hili swali inabidi ujue maana ya KM/H au hiyo 80km/h, maana yake ni nini nikufundishe
80km/h maana yake utembee/umalize km 80 ndani ya saa moja! sasa maana ya swali ni hivi!
gari likitembea kumaliza km 80 ndani ya saa 1 na pikipiki nayo ikitembea kumaliza km 80 ndani ya saa 1 ipi itawahi kufika! ???
the answer is very simple, wote watamaliza km 80 ndani ya 1 hr so wako sawa! no matter other factors maana kwenye swali tayari wamesema km 80 kwa saa 1
Mkuu mimi sijasoma art Wala science yako unayosema ila ni dereva wa magar makubwa nakuambia kitu practical,sijazungumza speed governor Nazungumzia speed ya gari from manufacturer,hizo youtong na zhongton zinazokimbia hapa TZ mwisho ni 120.H
Hujui wewe basi linaweza kufika hadi 180 achana na haya ya bongo yaliowekewa speed gavana, watu mliosoma art mnasumbua sana.
happy africa dar_njombe la zamaniBasi gan ?? Yale masufuria yaliyo na engine ya scania ndo yana 120 km/h mwisho sema kuna gap lipo .. Haya mabus mapya yana paka 140km/h
But wakati hilo kubwa likizunguka x100 lile dogo litazunguka x200Nakuheshimu saana!!
But
Napingana na ulichokiandika kwa sababu
Speed inapimwa kutokana na movement ya chombo ambapo inakua calculated kwa kutumia mzunguko wa tairi. So let's say tairi either la pikipiki au la gari, kwa mzunguko mmoja linaweza kuzunguka na Ku cover mita moja, likizunguka mara 1000 litakua limeitimisha KM!!
KWAHIYO, SPEED YA CHOMBO CHA MOTO HAIPIMWI KWA EITHER RESISTANCE YA UPEPO WALA UKUBWA WA INJINI, INAPIMWA KWA ROTATION YA TAIRI WAKIOANISHA NA UMBALI.
SAMAHANI SO MZURI WA KUTOA MAELEZO KWA KUANDIKA, I WISH NIWATUMIE VOICE NOTE
Usidanganyikehapo nimepata concept mpya