Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
You are wrong my friends,kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika!!
Wala,ndiyo maana kwa mfano pikipiki ukiendesha speed kubwa mfano kuanzia 100km/hr huwa inaanza kuhama barabara,maana yake air resistance ina effect kubwa!!
ngoja nikuwekee reference hapa ujisomee mwenyewe mkuu!
Nakuheshimu saana!!Mkuu soma hapa utapata mwanga kidogo,pia fungua hiyo link kwa maelezo zaidi ya kitaalam,hapa nimeweka kipande kidogo cha maelezo kutoka kwenye website husika:
Are you asking why the car accelerates faster than the bike at the same speed?
It's because the car's engine has a lot more power than the legs of the biker. The car is likely to have over 100 horse power while the biker doesn't have even 1. Not to mention the torque difference.The car is easily 100x more powerful than the biker.
Source:How the car overtakes a bike when both are travelling at a same speed?
Waambie waangalie misafara ya marais inayoongozwa na pikipikinimeuliz hapa sababu jamaa zanqu wenq kubisha kwamba pikpik itaachwa tu hata kam speed inasoma sawa.
Chukua mawe mawili kubwa na dogo yani kg 100 na kg 10 nenda baharini usawa wenye kina kirefu yadumbukize hayo mwe majini kisha yafatilie uangalie litakalofika chini ya bahari likiwa la kwanza basi ndo jibu la sawli lakoassume pikpik inatembea 80km/h, gari nalo linatembea 80km/h...Je, kuna uwezekano qari likafika mapema au kuiacha pikpik?
note: safar si ndefu mfano urefu wa 10km.
wataalam naomben majib mana tumebishan san hii mada.
Tumia macho yako kuona movement inayokuwepo btn pikipki na gari kwenye iyo misafara ya pres huonagi kuwa the bike inakuwa into high soeed while the car inakuwa into low speed chief jaribu kuexamine vizuri utaligundua ilo mkuuWaambie waangalie misafara ya marais inayoongozwa na pikipiki
Kg zitakuwa sawa bt box litakalotumika kubeba mawe ya kg 50 na box litakalotumika kubeba manyoya ya kuku yatakuwa tofauti bob kwa ukubwa hayatalingana .Kwani kilo 50 ya manyoya ya kuku na kilo 50 ya mahindi ipi nzito?
kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
Huu ni uzushi, baiskeli mzunguko wake ni mkubwa but haimaanishi inakimbia, hapa kinachoongelewa ni kipimo cha speed sio kifaa kipi kinakimbia zaidi.Chukua mawe mawili kubwa na dogo yani kg 100 na kg 10 nenda baharini usawa wenye kina kirefu yadumbukize hayo mwe majini kisha yafatilie uangalie litakalofika chini ya bahari likiwa la kwanza basi ndo jibu la sawli lako
Ams chukua mawe kubwa na dogo yaani kg 100 na kg 10 mawili nenda sehemu yenye mteremko kutoka mliman yenye urefu wa let say 10km kisha yabiringishe hayo mawe kuelekea chini litakalofika chini likiwa la kwanza basi ilo ndo jibu la swali lako mzee vitu vingine hatuitaji kufanya ubishi tu ilimradi fikirisha akili yako.
Kwamba ni kweli speed inapimwa kwa mzunguko wa tairi je umejiuliza kabla ya kupost apa kwamba mzunguko mmoja wa tairi la pikipiki ni sawa na mizunguko mingapi ya tairi la gari ama mzunguko mmoja wa tairi la gari ni sawa na mizunguko mingapi ya tsiri la pikipiki ukisha pata jibu kwamba ni tairi lipi linatakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuufikia mzunguko mmoja wa tairi jingine basi jibu utakuwa nalo .
Kuwa yule anayetakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuupata mzunguko mmoja wa mwingine ndo atafika akiwa wa mwisho na uyo mwingine atakuwa wa kwanza kufika and vice versa is true bt if ceter peribus.
Asante Mkuu umetoa maelezo mazuri. Atakayeshindwa kukuelewa hapa hata aende mbinguni hawezi elewalabda tueleweshane vizuri
tunazungumzia speed kwa maana ipi?
kama hilo gari na pikipiki zitakuwa kwenye speed moja mf 80km/h na hakuna mabadiliko kwenye speed(acceleration) basi hivi vyombo vitafika muda mmoja kabisa na havitaachana kwa sababu speed inapimwa kwa kugawanya umbali na muda(distance and time)
lakini ikiwa tu kutatokea mabadiliko ya speed (acceleration) then zote zikapanda hadi speed ya mf 100km/h hapa ndio itategemea ni chombo kipi kina uwezo wa kuaccelerate(kuchanganya haraka) na hapo ndio kutatokea gap la muda,aliyechanganya haraka atawahi kufika...lakini ikumbukwe kuwa gap la umbali kati ya vyombo hivi litabaki palepale.
namna nyingine kuweka sawa ni hivi
mnapokuwa kwenye speed moja(gari na bike) gari linatumia nguvu kidogo na pikipiki inatumia ngumu nyingi zaidi ili kumantain hiyo speed,pengine hapa ndio watu wanapozungumzia...lakini hii haina effect yeyote kwenye muda wa kufika,wala hakuna kitakachomuacha mwenzie.
fikiria hii.
unapokokota baiskeli wewe na baiskeli mnakuwa kwenye speed sawa na mtafika pamoja,the same as pale ukaamua kusukuma gari,utalisukuma na speed yako ndio itakuwa sawa na speed ya gari..na hata likiwaka kama dereva atamanage kukanyaga mafuta kupata mwendo sawa na wako mtafika pamoja kabisa.
kwahiyo gari na bike at the same speed zitafika huko muda mmoja.
Siyo kweli labda speedometers ziwe mbovu.Concept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
na kwenye tochi inakuaje mkuuConcept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
asante mkuukwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
Hapana mkuu hizo ninadharia zako tu Kuna kitu kinaitwa international standards (SI) kama kifaa kimekidhi viwango hivyo bila kuchakachuliwa, haziwezi kupishana.kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
Huna haja kuweka reference alichoongea jamaa ni sahihi nina utaaramu na haya mambo.ngoja nikuwekee reference hapa ujisomee mwenyewe mkuu!
Waulize hao jamaa zako, kilo moja ya tende na kilo moja ya mbaazi kipi kizito?nimeuliz hapa sababu jamaa zanqu wenq kubisha kwamba pikpik itaachwa tu hata kam speed inasoma sawa.