Speed 120km/hr ya pikipiki na 120km/hr ya gari?


We hukuwahi kusoma hata hiyo physics. Refer to physics books au waulize madereva watakusaidia.
 
Wakati mwingine hii puzzle iko complecated. Hebu fikiri: Unapoendesha gari kwenye mzunguko gari inasoma speed fulani (let say 60km/h) lakini ukweli ni kwamba hata matairi yenyewe ya mbele yanatofautiana speed. Tairi la upande wa ndani wa mzunguko linakwenda taratibu kuliko la upande wa nje. na hata umbali matairi haya yalipotembea unatofautiana.
 
Wakuu mimi nipo safari ktk Iringa kuelekea Dar! Nikifika dar nitapitia posts zote na kutoa marks! Lakini mpaka sasa nasikitishwa sana na uelewa mdogo wa wengi ktk hili swali (ukizingatia wengine wanajita ma Dr); Mwongozo :- ili kujibu hili swahili ni vizuri ujiulize definition ya speed!
Architech naomba upitie mchango wa kila mtu uto marks, na mimi nikifika nipitie alafu tutoe average! lol
 
Mkuu unakosea, Speed sensor ya gari ipo kwenywe output ya gearbox,na magari mengine kwenywe 'difu' hivyo ukubwa au udogo wa tairi sio kipimo cha speed ya gari.
 

Mzee utachekwa !
Tunaposema Km/h tuna maanisha umbali wa barabara na muda unaotumika ku cover huo umbali na siyo vinginevyo.
usichanganye rpm, revolution per minute ya engine.
Hivyo, 120km/h iwe ya ndege, baiskeli, pikipiki treni, lori, chui zote ni sawa.
Kama wanaenda umbali wa Km 120 wote watatumia saa 1 wakiwa katika spidi hiyo ya 120km/h.
 
Mimi ninauzoefu wa mambo ya magari.

Kwa mfano Suzuki ina tairi ndogo Scania ina tairi kubwa.

unazungumzia uzoefu usio na ukweli. kama tairi kubwa na dogo vinazunguka kwa speed sawa basi tairi dogo huzunguka mara nyingi zaidi ya tairi kubwa katika muda sawa ili kusafiri umbali sawa. Hivyo basi, Ukiwa kwenye chombo kidogo utahisi unakimbia sana kwakuwa tairi linazunguka maranyingi zaidi. kwa speed hiyo hiyo ulozoea kwenyegarindogo utaona tofauti kwa gari kuwa kwa sababu mzunguko wa tairi (injini).
 

Mzee subiri majadiliano ya sayansi kimu ndo uje kuchangia!
 

akhsante papa diana,, nakungoja ufike dar utoe marks... Mimi obviously ntaanza na kumpa dr. Mbura sifuri,, hawa ndio madokta wa kuchakachua,,,sijui walikoupata huu udaktari,, fika haraka uwaelimishe watu, wafunguke upeo na akili,,
 
Mkuu unakosea, Speed sensor ya gari ipo kwenywe output ya gearbox,na magari mengine kwenywe 'difu' hivyo ukubwa au udogo wa tairi sio kipimo cha speed ya gari.

Yote haya huwa kwa hesabu ndugu wala wasahau kuwa ndio hiyo unayoita sensor izunguke lazima gearbox izungushe tairi, tairi isipozunguka hicho kifaa kamwe hakizunguki
 


kwa hiyo catapira yenye tairi kubwa basi spidi yake pia kubwa?
 
tatizo wengi wenu humu mmezoea kupanda daladala ama gari za kuazima!
ukubwa wa injini nikimaanisha wingi wa pistoni ndio mpango mzima wa kuelewa nguvu ya gari na inavyoweza kukata safa,kwa mfano speed 120 kwa km100 gari 4sld inakata kwa saa moja wakati gari ya 6sld itakata kwa speed na km hizohizo kwa dakika 45,na ya 8sld itakata kwa 35 dakika.
gari kubwa(za mizigo)kama ipo tupu speed 120 sawa na corolla ya 4 sld speed m 140
 
ukisha sema km/h inabaki vile vlle kila gari. Ndio maana unakwenda barabarani unakuta wameandika mf 40. Maana yake magari yote yatembee 40km/h bila kujali tairi, difu wala piston. Ingekuwa kila gari na spidi yake basi kila sehemu yenye warning speed limit wangeweka pia parking na wangewka orodha ya kila gari na spidi yake. Unafika pale unasimama unaangalia gari yako kwenye orodha alafu unaangalia pidi yake unaondoka.
 
 

Attachments

  • bugati veyron.jpg
    13.5 KB · Views: 58

Thanks Kituko, your arguments are more convinging
 

godrich jibu lako limejitosheleza.
atakae endeleza mjadala baada ya post hiyo hapo juu atakua ni mbishi au mgumu kuelewa.

starlet ikitembea km 120 kwa saa moja (120kph)ni sawa kabisa na yutong likitembea 120km kwa saa moja (120kph) au ni sawa na boat ya kilimanjaro ikitembea 120 kwa saa moja(120kph).

mjadala na uishe.
 

Alafu eti wewe ni DR?? Aisee! Hii nchi tuna kazi. Speed ni moja swala la mzunguko wa tairi ni kitu kingine, tairi dogo litazunguka mara nyingi kuliko kubwa lakini kama wote wako 120 then hamna litakalo mpita mwingine. Very simple logic
 
Mimi naomba tuwekane sawa hapo inawezekana ktk maelezo ya wadau wengine kunavitu mnachanganya kutoa maelezo. Tuseme umbali wa kutoka Dar-Chalinze ni 100km. Gari kubwa liendeshwe kwa speed ya 100km/hr mwanzo mwisho, na pikipiki iendeshwe kwa speed ya 100km/hr mwanzo mwisho. Hapo pikipiki na gari kila mmoja atatumia 1hr muda sawa kufika.
 
wameshakiri kushindwa jamani,,, naona hata spidi yao ya majibu imeisha,,,, nawashukuru sana wana j.f waliokua sahihi kwa upole wao na uvumilivu wao wa kuendelea kuwaelimisha wengine, ambao kwa namna moja au nyingine walikuwepo wengine wabishi kweli kweli, kama dr mbura,sijui aliutolea wapi u-dr wake, ama labda alipatiwa wa bure,,, tumsamehe bure, ila nadhani atakua ameelimika... Big up j.f, Mungu ibariki t.z, Mungu ibariki j.f, Mungu awabariki wana j.f
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…