Ruhusa. . .unatoa?
Kasema sawa unaweza kuniambia
Access denied!
Amekataa. . .sorry Nitty!!
Alafu unaona sasa. . .ningejifanya kukwambia bila kuuliza ningekoma!!
Atakubali tu au ninong'oneze basi asisikie
Mama mchungaji anamtii baba mchungaji pekee. . .
We nikifukuzwa una pakunipeleka?
Pakukupeleka kupo tena kuna kuna ulinzi mkali hataweza kufika
Haya ntakutafutia wakumpeleka huko. . . .
Au niPM kama unamuogopa kwa kuniambia hadhalani
Atakubali tu au ninong'oneze basi asisikie
raha ya msuli ukwee mnazi
ila usiseme kama nimekuambia