MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
- Thread starter
-
- #81
Ni huyu Mj1 huyu kasababisha huyu. Kukabidhiwa kimwana mpoleee kuna kulala?
Afu wewe! Ntakutia bakora na mkongojo wangu. Ndo nini kuyachuria maslahi ya babu?
Hus kala bingo la ukweli. . . yani ukisikia nyoka katoka pangoni kisa Hus jua ni nyoka, nyoka kweli.Hah ntaamini ukimtaja. Ndio we mtegaji wa hizi mambo.
Mbu, keshakuitika salamu yako. (Naye sijui kafichwa wapi tena)
Hus kala bingo la ukweli. . . yani ukisikia nyoka katoka pangoni kisa Hus jua ni nyoka, nyoka kweli.
Usisahau kumtakia Geti wellu wishez festi ladii
Will do baba mchungaji. . . namwandikia barua ya kumpooza!!
Mi yangu macho mamaa Lizzy maana naona sasa huambiliki umekolea vya kutosha ninawasiwasi huyu baba mchungaji anatumia nguvu za giza mpaka amekung'oa! Lol
Nitty ujue mi na baba mchungaji hatujaanza leo. Cheo cha mama mchungaji nilikipata zamani . . .chungulia hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/99892-mpenzi-wa-jf.html
Nitty ujue mi na baba mchungaji hatujaanza leo. Cheo cha mama mchungaji nilikipata zamani . . .chungulia hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/99892-mpenzi-wa-jf.html
Understood! Wakubwa kwa wakubwa siyo? Orayt.... Kongosho, come this way my super valentine.babu utaweza nini?
Kumng'ang'ania GM ni kumtesa
anahitaji suluba huyu
sasa wewe na hilo jino lako moja kama pembe ya faru litafaa nini?
hahahah mchungaji mla kondoo zake. Chezeya Masa wewe!Lakini si unakumbuka hata Asprin alivyokushauri usije ukaingia kwenye mikono ya mchungaji anayevaa msuli.
Baeleze baambie
Mch Le Mutuz masanilo big Show@ unga ltd
Lakini si unakumbuka hata Asprin alivyokushauri usije ukaingia kwenye mikono ya mchungaji anayevaa msuli.
Nitty nilikuja kugundua msuli ni mzuri zaidi ya suruali. . .very convenient.
Embu naomba unipe uzuri wa msuli labda na mimi naweza aanza kuuvaa
Hahahaha naweza kukwambia kwa ruhusa ya baba mchungaji. . . mwombe tuone kama atakubali.
Dah kweli umeshikwa pabaya mpaka nimuombe ruhusa Baba mchungaji? Haya ngoja nimuombe..baba mchungaji mruhusu Lizzy aniambie uzuri wa kuvaa msuli plz
Loading........1%
Ruhusa. . .unatoa?
Access denied!