MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Hahahahaha. . .we mami wewe. . .
Ndo nini waniuza bila taarifa?Au baba mchungaji kawa domo zege?
Asa we Mwali, ofa huwa zina maswali? Mbona waniangusha tena!!
Mind you Mch. C domo zege, akifunguka huchomoi my friend
Hahahaha. . . kwahiyo kutafuna hawezi ila kumeza yeye ndio mwenyewe?Lolz. . .
Haya naacha maswali. . .nakua mtoto mtiifu!!
Post of the year!
Im speechless Lizzy tafadhali malaika wa mbinguni wanashangilia
usichekelee sana
hana meno lakini kutwa kaucha na mihogo mibichi.
Sasa sijui huilamba tu
hicho ni kitendawili
Post of the year!
Im speechless Lizzy tafadhali malaika wa mbinguni wanashangilia
Hahahaha Masa eti malaika wanashangilia dah! Yaani leo ntalala nikitabasamu kwa post hii
Lizzy Baby sisy, this is so romantic my dia please say yes nawe eh!
Hhhhmm kwasababu kakuombea MJ1 na malaika nao wanashangilia basi namwambia MJ akwambie kua Lizzy kakubali. . .
My valentine for life! Kuna sherehe kubwa mbinguni inaendelea malaika na watakatifu wote wanacheza na kuimba. Natamani iwe kweli isiishie JF👊
jG na wewe pia?Duh kweli vita kubwa sana, masikini!
So Rev Masa, hii mambo ya Zenji nipite nayo? kama kawa? Naiona hapa "Sauti za Busara"
Hhhhmm kwasababu kakuombea MJ1 na malaika nao wanashangilia basi namwambia MJ akwambie kua Lizzy kakubali. . .
Mpendwa ungejua alivyoomba! Mh naogopa kuweka hadharani maana ulivyo hukawii kuniuliza kama sikumtamani japo kiduchu!Mami romantic wapiii wakati mtu mwenyewe kaombewa!!
Duh kweli vita kubwa sana, masikini!
So Rev Masa, hii mambo ya Zenji nipite nayo? kama kawa? Naiona hapa "Sauti za Busara"
Hhhmmm embu nidokeze kidogo. . napenda kujua, natamani kujua, NATAKA kujua kama kajitahidi mwenyewe au kalazimika kisa pendekezo katoa mamii MJ1.Mpendwa ungejua alivyoomba! Mh naogopa kuweka hadharani maana ulivyo hukawii kuniuliza kama sikumtamani japo kiduchu!
Duh kweli vita kubwa sana, masikini!
So Rev Masa, hii mambo ya Zenji nipite nayo? kama kawa? Naiona hapa "Sauti za Busara"