ZOTE ZA NDANI KUKAA WKA BOSS ZIPO ni Bureee 0760600990 Watsapp
DODOMA MJINI
Mama pekee yake , na Kuna dada mwingine mdogo Ni mfanyakazi pia, anatakiwa mdada wa Kumsaidia
•Dini yeyote 18+
•MSAFI, Strong , (Kazi kubwa ni usafi)
•Anaejuwa Kupika Vizuri
MSHAHARA 150K kukaa hapo hapo
DODOMA MJINI
Baba mama watoto watatu Umri 13/10/7
Wote wanasoma unashinda mwenyewe Nyumbani ,
•Mkristo 20+
•Msafi na mzoefu wa kazi za ndani
•Mchapakazi na Muelewa
MSHAHARA 100K
KIMALA SUKA
Baba mama watoto wawili umri 2/ 5Miez Mama anakuwa na mdogo , Nyumbani
•Mkristo 18-22
•Mwenye Kumpenda Mungu Na Msafi kazini.
•Mzoefu wa kazi,. Mpenda watoto
MSHAHARA 100K
UBUNGO LIVER
Baba mama watoto wawili umri 12/8 wote wanasoma wanajitambua
•Dini yeyote 20+
•Mcheshi na mwenye Heshima
•Ajuwe Kupika na kufua
MSHAHARA 100K
Ukiwa vizuri unaongezewa
anatakiwa kuanzia sasa