Special threads~Tafuta kazi Tanzania

Special threads~Tafuta kazi Tanzania

🎤NAFASI YA KUFUNDISHA

ANAHITAJIKA mwalimu
WA SOMO LA English na literature KWA KUJITOLEA KATIKA SHULE YA SEKONDARI ,ILIYOPO MUFINDI- IRINGA

POSHO NI 180,000/=PER MONTH
Contacts
0753887223
 
🎤MUJUMUZI GOLDEN BRIDGE SECONDARY SCHOOL
Location: Katoke, Muleba - Kagera
Inahitaji: Mwalimu wa Geography na Biology
Salary: 300,000/=
Makazi yanapatikana

Mawasiliano: 0785 992 289 NOTE: Kama uko tayari, hata sasa hivi unaweza fika shule kwa ajili ya interview.
 
Bongo bado hatuja fikia kutafuta kazi, bongo unapaswa kufanya uamuzi wa kufanya kazi na sio kutafuta
 
🎤Wanahitajika MADEREVA wa TRANSIT

Vigezo vya awali
  • Leseni na Vyeti vya udereva.
  • Uzoefu na SAFARI ZA NJE
  • Passport ya kusafiria.

Piga +255 717 833 094 kwa maelekezo zaidi.
 
🎤Anahitajika kijana wa kiume mzoefu wa kuchoma chips na kuuza
Malipo kwa siku 4000
Location zanzibar
kupumzika kwa wiki mara moja
.piga simu 0712975452 .kama siyo mzoefu usipige simu tafadhali
 
🎤Anahitajika mdada anayejua kusuka nywele vizuri
saloon iko majengo dodoma
0788960598
mshahara maelewano
 
🎤ANAHITAJIKA PHARM TECH DISPENSER AU PHARM ASSISTANT KUFANYA KAZI DLDM
LOCATION DODOMA KONDOA
POSHO MAELEWANO
KULA KULALA JUU YA BOSS
MAWASILIANO:+255682287011
 
🎤kijana wa KIUME wa kuuza vinywaji BARIDI na awe anajua KUTENGENEZA JUICE YA MIWA.

NOTE
awe anakaa Kipawa, Kigogo, Kwa Mbiki au Pugu.
simu no.
0714446670
 
🎤🎤 TANGAZO LA KAZI – DUKA LA DAWA
👩‍⚕️ Anahitajika: Dispenser au ADDO mwenye uzoefu wa kuuza duka la dawa
📍 Eneo: Bagamoyo – Kerege
🛏️ Chumba cha kulala kipo
🍽️ Chakula kinatolewa
💰 Mshahara: 120,000/=
📞 Wasiliana na: 0620726628
 
📢 TANGAZO LA KAZI – PHARMACY
💊 Nafasi: Pharmaceutical Technician
📍 Eneo: Geita
Sifa: Awe amesajiliwa na Baraza la Famasi (Pharmacy Council)

📞 Mawasiliano: 0764 208 114

⚡ *Fursa hii ni ya haraka – wasiliana sasa!
 
Back
Top Bottom