Mkuu $400 millions kuwa sawa na Trilion 1 tzsh hizi hesabu umezipata wapi!?$400 Million ni kama Trilioni 1 tu ya kitanzania huku msaada aliopewa Ukraine wa $61 Billion ni kama Trillion 120 za kitanzania. Margin kubwa sana
Zelensky kaiharibu nchiKiukweli Hali waliyo nayo Wana Ukrein Nimbaya Sana
Tunafichwa Sana Yanayo endelea Kwa Raia wa Ukrein
Jamaa wanateseka Sana Fikiria Wanajitoa Muhanga Kuvuka Mpaka kwanjia za Hatari liwalo na liwe
wengine wanajitosa Kwenye Maji nakufa
wengine Wanapigwa Shaba Mipakani wakijaribu Kuvuka.
Video
Hawajamaa Wanajaribu kuvuka mpaka Hatari wa Ukrein na Hungary Kuikimbia Nchi yao
hapa wanatumia Mbinu Kuhadaa CCTv kubwa Wavuke na kuikimbia nchi
hawapo Tayari Kabisa Kupiga vita Na Urusi nibora wafe wakijaribu Kutoroka Nchi kwa jia Yeyote ile
View attachment 2976926
Great escape from Ukraine!
To escape the mobilization in Ukraine, 11 brave guys dug a small a tunnel under the fence, took two inflatable boats and wetsuits and ran to Hungary!
Welcome to Hungary boys!
Vatican ana jeshi la kupigana vita?Hili picha mwishonwa siku ni russia America na vatican
Sio lazima awe na jeshiVatican ana jeshi la kupigana v
Vatican ana jeshi la kupigana vita?
Aibu kubwa sana. Si wakubali yaisheVita vya KAGERA wananchi wa TANZANIA walijitolea wenyewe kwenda MSTARI WA MBELE,
Na ilitokea kama mtu hakuchaguliwa kwenda FRONT basi alihuzunika sana kukosa nafasi hiyo adhimu ya kuitetea nchi yake…… vipi kuhhusu wananchi wa UKRAINE?
View: https://x.com/mylordbebo/status/1784908905073488076?s=46&t=eQbA0aH9CX3YD3wUKRO_cw
Itabidi NATO watume majeshi yao.Vita vya KAGERA wananchi wa TANZANIA walijitolea wenyewe kwenda MSTARI WA MBELE,
Na ilitokea kama mtu hakuchaguliwa kwenda FRONT basi alihuzunika sana kukosa nafasi hiyo adhimu ya kuitetea nchi yake…… vipi kuhhusu wananchi wa UKRAINE?
😀😀Maxence Melo tuko chini ya miguu yako mfukuze KIPANYA humu ndani jamaa ana roho ngumu vibaya mno,
Kabaki peke yake na anapambana kweli kweli huyu hata kutuua hashindwi 😅😅😅