Dogo hakujua kuwa amejiingiza kwenye mchezo asioujua,. Sasa hivi anapotezwa kama kinyesi
Naona ulanzi kwenye chupa kumbe hii mijitu ni milevi ya mataputapu
Siyo kweli,hukumsikia gwajboy alivyokuwa anagumia kwenye ile video yake maarufu?
Huu uzi nilikuwa naupita tu kila siku, kumbe unapunguza stress za awamu ya Viwanda!
Huu uzi nilikuwa naupita tu kila siku, kumbe unapunguza stress za awamu ya Viwanda!
Sent using Jamii Forums mobile app