Special thread ya tweets

.
IMG-20180928-WA0086.jpg
 
Tweeter ni mtandao unaotumiwa na viongozi mbalimbali duniani, wakiwemo wafanyabiashara, wanasiasa, na watu wa kaliba ya juu. Tweeter ni tofauti kabisa na Instagram (mtandao wa vijana) bado au Facebook
Mara nyingi tunapata habari za viongozi, mawazo na mitazamo yao au kwa matukio mbalimbali moja kwa moja toka kwao kupitia tweeter
Kwa muktadha huo naweka uzi huu tushirikishane tweets mbalimbali za viongozi wetu, wanasiasa nknk

Karibuni wote.... View attachment 874166
.
Screenshot_2018-10-12-21-43-22.jpeg
 
Back
Top Bottom