MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,381
- 4,648
Haioni kioo kimevunjika View attachment 1758599Haioneshi?? Au imechora mistari
Haioni kioo kimevunjika View attachment 1758599Haioneshi?? Au imechora mistari
Kuwa makini nyingi 99% bland ulizozitaja kwa wakti huu ni fake...wajuzi naona mniambie ubora wa TV aina ya Panasonic na JVC.. nahitaji kununua ila nina mashaka nazo kuhusu ubora wa picha.
LG LED TV 43INCH ORIGINAL
NYEMBAMBA
LOCAL CHANNEL FREE
NATAKA 550,000
LOCATION KIMARA-SUKA
0654224700View attachment 1758601
Ipo 0654224700Bado ipo hii?
Mkuu niaje unaweza nichekia kuanzia inch 43 - inch 50 TV ambayo sio smart.. brand pamoja na bei... + usafirshaji mpaka DAR.. nahitaji kwa ajili ya kuonyeshea mpira.. so ata ikiwa FHD au HD pia freshhatuna yyte mkuu, labda 65
star x 43" 630000Mkuu niaje unaweza nichekia kuanzia inch 43 - inch 50 TV ambayo sio smart.. brand pamoja na bei... + usafirshaji mpaka DAR.. nahitaji kwa ajili ya kuonyeshea mpira.. so ata ikiwa FHD au HD pia fresh
hii hapa si mahala pake mkuuShallom wapendwa!
Hii ni app nzuri sana kwa kudownload nyimbo za kumtukuza Mungu kama za kusifu, kuabudu,tenzi za rohoni, kisabato na kikatoliki. Inapatikana playstore bonyeza link >>
View attachment 1777121Wakristo Music - Apps on Google Play
Wakristo Music app bring you to globe wide by praise Lord through gospel musicplay.google.com
Sawa bro nimeelewahii hapa si mahala pake mkuu