Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

*BIG Offer*
32GB FLASH DISK FOR TShs. 20,000

Pata Flash disk yenye uwezo wa kusoma kwenye Laptop, TV, Radio etc kwa bei nafuu ya 20,000 kwa uwezo wa 32GB

Brand: DM PD076

Location : Mkuki House, Gerezani - Kariakoo


Bei:

32GB - 20,000

Call/Text/WhatsApp 0742968517

Follow us on Facebook and Instagram : @dmlifestore
 
Kuuliza si ujinga.. Hivi kuna kifaa chochote ambacho unaweza kuchomeka kwenye TV halafu ukatumia hicho kifaa kuchomeka flash drive? Nimeuliza hivyo kwa sababu kuna TV hapa nimeweka ukutani lakini inakua ngumu kidogo kufikia usb port.
Ndiyo kipo. Kuna kile kitu kimekaa kama flash sio flash kidogo kifupi. Unaweza kuchomela hata kwenye cm pia ukaweka flash

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi nauliza
Wapi naweza kupata hii cable?
Kama OTG cable zipo k/koo buku mbili mbili tu mkuu ila ukienda kichwa kichwa unapigwa nenda aggrey na likoma maduka ya ndani ndani ya jumla.
au uliza kwa Mnigeria,Mzungu kama si Mkongo.
 
Kama OTG cable zipo k/koo buku mbili mbili tu mkuu ila ukienda kichwa kichwa unapigwa nenda aggrey na likoma maduka ya ndani ndani ya jumla.
au uliza kwa Mnigeria,Mzungu kama si Mkongo.
 

Attachments

  • 20190202_212328.pdf
    249 KB · Views: 48
nauza samsung tv led inch 32 naiuza kwa shilingi laki nne na nusu tu 450000, namba zngu 0623953036


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nina tv star x mpya kwenye box inch 32 bei 330k nlinunu kwa ajili la lodge ikabaki moja hiyo kwa anaetaka nipo sinza nyuma ya tanzanite tower karibia na hospitali ya mama ngoma njoo uonee mzigo tumalizane
Tuwasiliane 0765532858 au 0673540985
Ni mpya kabisa ipo kwenye box lake
Note;bei haipungui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mbona na wew unamuita mwenzio mpuuzi? Anachosema dula ni sawa humu Hakuna wateja hata kwa Hizo item wanazojitia kuulizia wengine Awana hata umeme makwako mnaponda item za watu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakeraa mzee, analeta mihemuko kwenye business hapana shaka hajui marketing. There are soft and hard customers! What he had to do is not trying to chase the hard ones because they might be very strong on facts. Soft customers unawaburuza tu just because the might not be knowledgable enough. Dealing with customers needs balls!!!
 
Hoja hupanguliwa kwa hoja.Mpaka sasa hakuna aliye jibu.Sio vema kuaribiana biashara.Nenden taratibu mtaelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nna movie ya saa moja ina 7gb...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…