Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa


Abdulwahid

Abdulwahid

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
1,597
Likes
485
Points
180
Abdulwahid

Abdulwahid

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
1,597 485 180
Ndo kwanza kuna wajinga na wajuaji wanalilia rocu tv
Mda mwingine tunaitaji tu Tv zenye format hio 4k ila kuzitumia atuzitumi coz DStv,Azam,zuku,startimes, n.k Hakuna inayorusha picha yenye format hio UHD na ukisema udownload video ya dakika 3 km vile music ya Ali kiba, daimond unakuta ni MB500 Sasa km video ya dakika 3 ni MB Zaid ya 400 je movei ya 2hours? Smtmz Tv yenye format ya 4k kibongobongo ni Kama pambo tu ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abdulwahid

Abdulwahid

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
1,597
Likes
485
Points
180
Abdulwahid

Abdulwahid

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
1,597 485 180
Chanini? Hayo no yakawaida tu, hakuna kazi isiokua na changamoto, kutokuelewana na kutofautina kupo kwenye kila kazi,
Muhimu kusiwe na chembe ya kudhulumiana, musikalie ushabiki kwa jambo ambalo hamlijui mwanzo wake wala mwisho wake
Huu uzi umeingia KINYONGO
Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
693
Likes
367
Points
80
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
693 367 80
Posta hyo hyo mkuu,wale mamother pale ni wakuda kweli ukijumuisha na jamaa flan hivi ndo anayedili na hzo.hayo mahesabu niliyopewa nilichoka ikabidi nikalipie tu kwenye account yao nmb ninusuru mzigo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitumia aliexpress standard shipping au njia ipi maana mbona simu yenye thamani ya dollar 172 haijalipiwa hizo gharama au ilikuwaje mkuu?
 
son_of_masia

son_of_masia

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2015
Messages
269
Likes
139
Points
60
son_of_masia

son_of_masia

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2015
269 139 60
Ulitumia aliexpress standard shipping au njia ipi maana mbona simu yenye thamani ya dollar 172 haijalipiwa hizo gharama au ilikuwaje mkuu?
Yeah aliexpress standard shipping,wanasema kwa simu na computer ni 18% ya vat ndo unalipa.ila hyo sio haikuwa na vigezo hvyo ndomaana wakainclude custom duties

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
693
Likes
367
Points
80
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
693 367 80
Yeah aliexpress standard shipping,wanasema kwa simu na computer ni 18% ya vat ndo unalipa.ila hyo sio haikuwa na vigezo hvyo ndomaana wakainclude custom duties

Sent using Jamii Forums mobile app
Simu hulipii mkuu walitaka tu kukupiga jamaa.
Anyway sio ishu as long as ume afford na umepata mzigo wako sio mbaya.
 
D

Dennis eudes

Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
23
Likes
7
Points
5
D

Dennis eudes

Member
Joined Feb 1, 2012
23 7 5
*BIG Offer*

32GB FLASH DISK FOR TShs. 20,000

Pata Flash disk yenye uwezo wa kusoma kwenye Laptop, TV, Radio etc kwa bei nafuu ya 20,000 kwa uwezo wa 32GB

Brand: DM PD076

Location : Mkuki House, Gerezani - Kariakoo


Bei:

32GB - 20,000

Call/Text/WhatsApp
0742968517


Follow us on Facebook and Instagram : @dmlifestore
2_32gb_price-jpg.1004143
1_32gb_price-jpg.1004144
 

Forum statistics

Threads 1,262,348
Members 485,558
Posts 30,120,860