mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,762
vipi kuhusu hiyo duplex link huoni kama wote ni wamojaHahahaahaha Nimeiangalia vizuri nikagundua kitu very interesting, angalia kikalio cha Daraja upande WA Chadema na Upande WA ccm, utakugundua kuwa Chadema Daraja limekaa vizuri wakati ccm limeshikilia kidogo Sana
Umeona mbalikiongozi, ukiangalia kutoka ccm kwenda cdm kuna kamlima, na ili kuwatoa madiwan wa cdm kwenda ccm ni mpaka wawanue, ila kutoka ccm kwenda chadema kuna mteremko/ka slope maana hawana haja ya kununua wabunge yaan wanakuja wenyeweMkuu hapo inaonesha
- CCM inaporomoka kwa kasi.
- CDM ipo kwenye eneo ambalo inasubiri watu wa kutoka CM
- Inaonekana pia ccm nadra kupata watu kutoka CDM.
Mara mbili?CCM INAKUFA
Ni rahisi kumove toka CCM kuja CDM maana kuna mtelemkoView attachment 622903
wataalam wa lugha za picha kazi kwenu
Chezea Kipanya weww?Nice cartoon, yenye ujumbe mzito.
Huo ndiyo mwendo wenyeweKabla hujamaliza kumcheka aliegongwa na baiskeli unagongwa na Pikipiki!