Special Thread! Vifaa Mbalimbali vinavyotengenezwa IRAN

Tech ina wenyewe na ni wachache duniani Itan hakuna raia mwenye akili za wavumbuvi zaidi ya kukopi tu... namba moja wa kukopi duniani ni china
 
Reverse Engineering; they're only building the bodies and go on to use engines and gearbox systems they recycle from old autos. Nothing fantastic there.
Hata hivyo teknolojia iliyo Bora huibiwa ili kujenga vitu Bora Sana. Iran made it.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Reverse Engineering; they're only building the bodies and go on to use engines and gearbox systems they recycle from old autos. Nothing fantastic there.
Dogo hilo!!!
 
Bado wa kupongezwa Sisi hatuna vikwazo hata kimoja hata vijiti vya meno tuna import
 
Hiyo ndio shida ya kutawaliwa na chama kimoja kwa zaidi ya nusu karne huku watawala wakiwa hawana maono.
 
Back
Top Bottom