Special Thread: Usiku wa mahaba

Special Thread: Usiku wa mahaba

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Habari zenu,

Natambua na kuheshimu ndoa za watu humu jamvini, najuwa kunawale walioweka ndani kama mimi na kuna wale walio kwenye uchumba. Hapa itakuwa ni sehemu sahihi kwa watu kupeana ufundi na manjonjo ya kimahaba.

Lakini ni ifikapo usiku kuanzia saa moja na kuendelea. Mke wangu charty najuwa upo safarini huko USA lakini hapa ndipo sehemu pekee unaweza kunipata na tukaliwazana.

Onyo: Ni marufuku kuongea kimahaba na mke/mme wa mtu, mchumba inaruhusiwa hata kutongoza sio kosa.

Karibuni watu wa mahaba niuwe
 
Mimi sio mtu wa mahaba..ingawa nimeoa mkuu.

Kwa hiyo ..ngoja nipite zangu
 
Mweee nilipoona heading nikajua umefunguka juu ya mahaba uloyapata usiku, kumbe........
Haya ngoja waje watu na mahaba yao.
 
Valentina
Njoo shemeji yangu tuongee mawili matatu!
 
Last edited by a moderator:
Mweee nilipoona heading nikajua umefunguka juu ya mahaba uloyapata usiku, kumbe........
Haya ngoja waje watu na mahaba yao.

you are sexy and romantic come here and enjoy love baby.
 
Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni
 
kuongea maneno ya mahaba hairuhusiwi lakinini kutongoza ruhsa
 
you are sexy and romantic come here and enjoy love baby.

Acha nitoe majicho mwenzio!! Au umekosea kukoti?? We naye ni dizain ya Eli79 tu so naogopa kuruka nkojo nikakanyaga nya.
 
Last edited by a moderator:
mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni

Hiyo id yako tu inaogopesha mwenzangu, usijekula jicho watoto wa wenzio.
 
Na sie ma senior bachelor tunaruhusiwa kuchangia chchote!??
 
Acha nitoe majicho mwenzio!! Au umekosea kukoti?? We naye ni dizain ya Eli79 tu so naogopa kuruka nkojo nikakanyaga nya.

no no mydia mimi ni super na penzi langu halichuji. come here sweetie and lets enjoy everything in this life.
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa kwenye usiku wa mahaba na thread ya mahaba. Anayejua mahaba atujuze mama na baba wa mahaba ni nani?
 
mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni

"cta kwa cta" ndo wapi mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom