Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Mimi Jamaican black castro oil na extra virgn olive oil.. Nywele zangu zimejitahid speed ya kukua kidogo and zimekua nyeusi
 
Mafuta ya nazi Na almond me napenda mafuta ya maji ya mgando sipaki hata kwa bakora
 
Tangu nianze.kutumia.virgin coconut oil nimeona.tofauti. usinunue.ya dukani tengeneza mwenyewe. Olive oil pia ni.mazuri, Castro na almond kama wengine walivyosema.
 
Habari ya humu ndani,
Tafadhali naomba mnisaidie kujua mafuta gani mazuri kwa ajili ya kutengeneza ruff dteads na yanapatikana wapi,na wapi wanatengeneza vzr ruff dreads!

Asanteni siku njema.
 
Moulding gel wax
SD_GelWax_500ml_HR.jpg
 
Unatengenezaje?
Saga kwa brenda au kuna nazi zako, chuja upate tui zito. Acha kwa dk kadhaa maji yajitenge na mafuta, engua mafuta ya juu baada ya kujitenga na maji, chemsha mafuta hayo ulotenganisha na maji, yaani hilo tui zito kwa moto mdogo mpaka maji yakaule kabisa na ubaki na mafuta tu. Moto mdogo husaidia mafuta yasiungue na kuwa na harufu. Kwisha kupoa hifadhi vizuri ktk chupa safi yenye mfuniko
 
Asante dear
 
Back
Top Bottom