Plot4Sale Special Thread: Tunauza Viwanja maeneo mbalimbali

Nimeingia kwenye hiyo link mbona kiwanja ni 15,000,000 i.e million kumi na Tano na ni sqm 400 ambayo ni Sawa na 37,500 per sqmView attachment 2217870
Habari yako mkuu, hii miradi ya Viwanja huwa inachukuliwa na kampuni tofauti tofauti ambapo kila kampuni huwa inauza Kwa bei yake ili ipate faida,ambapo Kwa kampuni yetu Kwa maeneo ya Kisota SQM 1 tunauza 50,000/=....Karibu sana
 
VIWANJA VINAUZWA MBUTU KIGAMBONI
Viwanja Vipo upande wa baharini.
Vinaface mikoko
Ni vizur kwa makazi na biashara
Bei ni 15,000/SQM
Vipo vya ukubwa mbalimbali
Unaweza lipa cash au kwa installment
Kutembelea site ni kila siku na hakuna gharama.
Tuna Viwanja sehemu nyingine kama kisota, cheka,mwasonga, bunju A, Madale Mivumoni, Pangani Kibaha, Misugusugu Kibaha, Vikawe na Dodoma tuna Viwanja sehemu za Chamwino, Ihumwa, Mtumba, Iyumbu, Itega, Kitelela, Nala, Chahwa.
Call/SMS/WhatsApp: 0686601716
KARIBU SANA
IMG_20220511_072729.jpg
 
VIWANJA VINAUZWA IYUMBU DODOMA
Viwanja vipo sehemu nzuri sana,jirani na mradi wa NHC na jirani na chuo kikuu cha Dodoma(UDOM)
Viwanja vimepimwa na vinafaa kwa matumizi ya biashara na makazi
Eneo la Iyumbu lipo umbali wa km 8 kutoka City centre
Ni eneo lenye makazi mazuri na mji mpya sana hapa Dodoma
Eneo la Iyumbu linapakana na bypass ya Dar road
Viwanja vipo vichache wahi mapema.
Tuna miradi mingine ya viwanja maeneo ya Chekeni Mwasonga, Kisota, Mbutu,Cheka, Pangani Kibaha, Misugusugu Kibaha, Bunju A, Madale Mivumoni, Vikawe na kwa Dodoma tuna Viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala, Itega, Kitelela, Chahwa, Ihumwa.
Call/SMS/WhatsApp: 0686601716
KARIBU SANA
IMG_20220512_101218.jpg
 
VIWANJA MBUTU KIGAMBONI VINAUZWA
✓Ni Viwanja vizuri na vya kuvutia Kwa ajili ya makazi na biashara.
✓Vipo upande wa bahari na vimeface mikoko.
✓Bei ni 15,000/SQM
✓Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 284 mpaka 700SQM
✓Malipo ni Kwa cash au unalipa Kwa awamu.
✓Site visit ni kila siku na ni bure.
✓Viwanja vimepimwa na vina hati
✓Tuna miradi ya Viwanja vingine maeneo ya Bunju, Madale, Kisota,Cheka, Vikawe Misugusugu, Mwasonga, na Kwa Dodoma maeneo ya Kitelela, Nala, Chamwino, Chahwa, Mtumba, Ihumwa, Iyumbu, Itega.
✓Call/SMS/WhatsApp: 0686601716
IMG_20220515_185957.jpg
IMG_20220515_190016.jpg
 
PANGANI KIBAHA,VIWANJA VINAUZWA
Viwanja Vipo karibu na soko la loliondo.
Vipo karibu na stand kuu ya mabus ya maili moja.
Viwanja Vipo Umbali wa 2.5 km kutoka Morogoro road.
Vipo karibu na barabara inayounganisha KIBAHA na VIKAWE
Viwanja vimepimwa na vina hati kutoka wizarani.
Eneo ni tambarare na linafaa Kwa Makazi na biashara.
Bei cash ni 9000/SQM na Kwa installment 9500/SQM
Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 500 Hadi SQM 770
Kutembelea site ni kila siku na ni bure hakuna gharama.
Tuna miradi mingine Kigamboni maeneo ya Cheka, Kisota , Chekeni Mwasonga..Pia tuna miradi maeneo ya Madale Mivumoni, Bunju A..Kibaha Tuna miradi maeneo ya Vikawe, Misugusugu, Mwapinga,Vigwaza na Kwa Dodoma tuna miradi maeneo ya Ihumwa, Chamwino, Iyumbu, Iyumbu, Kitelela, Nala, Chahwa na ItegaView attachment 2231418
IMG_20220520_094029.jpg
 
VIWANJA MISUGUSUGU KIBAHA VINAUZWA
Viwanja vimepimwa na vina hati
Bei yetu Cash ni 8000/SQM na Kwa installment(mienzi 6 mpaka 12) bei ni 8500/SQM
Vipo karibu na Checkpoint(ofisi za wakala wa vipimo)
Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 122 Hadi SQM 717
Eneo ni tambarare na linafaa Kwa ajili ya makazi na biashara.
Miundombinu ya Maji na umeme tayari imeshafika.
Tuna miradi mingine maeneo ya Kigamboni kama Cheka, Kisota , Mbutu na Chekeni Mwasonga..Pia tuna miradi maeneo ya Madame Mivumoni, Bunju Mji mpya, Mwapinga.Kibaha Pwani Tuna miradi maeneo ya Vikawe, Pangani , Fukayosi na Kwa Dodoma tuna miradi maeneo ya Ihumwa, Chamwino, Iyumbu, Iyumbu, Kitelela, Nala, Chahwa na Itega.
Call/SMS/WhatsApp: 0686601716View attachment 2236519View attachment 2236520
IMG-20220521-WA0018.jpg
 
OFA VIWANJA VIGWAZA
Viwanja vimepimwa na vina hati
Bei yetu ni 2,000/SQM.
Lipia 200,000 kila mwezi Hadi ukamilishe(installment)
Vipo umbali wa KM 6 kutoka Vigwaza Mizami.
Viwanja Vipo pembezoni mwa barabara inayojengwa inayoelekea bandari mpya.
Miundombinu ya barabara na umeme tayari imeshafika.
Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 650 Hadi SQM 1,247
Kutembelea site ni kila siku,hakuna gharama
Eneo ni tambarare na linafaa Kwa Makazi na biashara
Tuna miradi mingine maeneo ya Kigamboni kama Cheka, Kisota , Mbutu na Chekeni Mwasonga..Pia tuna miradi maeneo ya Madale Mivumoni, Bunju Mji mpya, Mwapinga.Kibaha Tuna miradi maeneo ya Vikawe, Pangani , Misugusugu, Fukayosi na Kwa Dodoma tuna miradi maeneo ya Ihumwa, Chamwino, Iyumbu, Iyumbu, Kitelela, Nala, Chahwa na Itega.
Wahi sasa ofa hii ya Viwanja
Ofisi zetu zipo Nyuma ya Ubungo plaza, KARIBU SANA
IMG_20220514_135525.jpg
IMG_20220514_135415.jpg
 
Kuelekea Sikukuu ya Sabasaba,miradi mipya inakuja Kwa Bei nafuu,kaa tayari
IMG_20220609_071738.jpg
 
Property Investors Company (PIC) kampuni inayojishughulisha na uuzaji na ununuaji wa Viwanja, inauza Viwanja Vigwaza Pwani vyenye sifa zifuatazo:
Viwanja vimepimwa tayari na utapata hati yenye jina lako.
Viwanja Vipo Kilometres 6 kutoka Vigwaza Mizani njia inayoelekea bandari kavu ya Kwala.
Bei zetu ni 2,500/SQM
Unaweza kulipa cash au Kwa installment.
Site visit ni kila siku.
Miundombinu ya umeme na Barabara tayari imeshafika site.
Vipo Viwanja vya ukubwa mbalimbali.
Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Misugusugu Kibaha, Pangani Loliondo Mnadani,Sofu Picha ya Ndege, Mapinga Bagamoyo, Madale Mivumoni,Bunju Mji mpya, Kisota Kigamboni, Mbutu Kigamboni,Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni,na Kwa Dodoma tuna viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Ihumwa Elshaadai, Itega, Nala Lugala,Nala Chihoni, Iyumbu,, Kitelela, Mahoma Makulu.
Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall.
Call/SMS/WhatsApp: 0686601716
KARIBU SANA

IMG_20220707_091118.jpg
IMG_20220812_072905.jpg
IMG-20220727-WA0032.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom