Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

EMMANUEL RWEGASIRA

New Member
Sep 29, 2021
1
1
VIWANJA VINAUZWA BUYUNI PEMBA MNAZI

KIGAMBONI

Vinauzwa na SNOW PROPERTY LIMITED (SPL) yenye ofisi zake Magomeni mwembechai opposite sheli ysSopco Viwanja hivi vina sifa zifuatazo:

Vipo umbali wa km40 toka Ferry

Ni Viwanja Vilivyopimwa tayari Kwa matumizi ya

Makazi

Vipo umbali wa km1.5 toka Buyuni center

Vipo vya ukubwa mbali mbali kuanzia SQM

400(25 Kwa 16) na kuendelea Malipo ni Kwa cash na kidogo kidogo

Bei ya Viwanja ni kuanzia million 4 maongezi yapo

Siku za Kutembelea site ni kila Jumatano, Jumamos na Jumapili.

Miradi yetu mingine ipo maeneo ya Toangoma

Kigamboni, na Misugusugu,

Call/SMS/WhatsApp:0679503038
Karibuni sana wateja wetu
 
Back
Top Bottom