Liutenant
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 620
- 1,014
Hiyo bei kubwa sana kwa ukubwa huo katika maeneo hayo.Unataka nunua wapi?
Hiyo bei kubwa sana kwa ukubwa huo katika maeneo hayo.Unataka nunua wapi?
Viwanja Vinauzwa Madale Mivumoni, karibu ujipatie chako mapema:
✓Ni Viwanja vizuri na vya kuvutia Kwa ajili ya makazi.
✓Viwanja vipo karibu na shule ya Atlas.
✓Vipo Umbali wa 1.5 km kutoka Main road.
✓Vimebaki vichache vya 539 SQM, 506 SQM, 511 SQM na 605 SQM....
✓Viwanja vimepimwa na vina hati.
✓Bei yake ni 37,000@1sqm
✓Malipo utaanza na 50% kama kianzio kisha utamalizia kiasi kilichobaki ndani ya muda wa miezi 6.
✓Kutembelea site ni kila siku na ni bure kabisa.
✓Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Bunju, Kisota,Cheka,Mbutu, Vikawe Misugusugu, Mwasonga, na Kwa Dodoma maeneo ya Kitelela, Nala, Chamwino, Chahwa, Mtumba, Ihumwa, Iyumbu, Itega, Mahoma Makulu.
✓Kwa Mawasiliano zaidi Call/SMS/WhatsApp: 0712156900..
Ofisi zetu Kwa Dar es Salaam zinapatikana Nyuma ya Ubungo plaza, na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall.
KARIBUNI SANAView attachment 2196204View attachment 2196205View attachment 2196206
Ok Mkuu nimekuelewa, hivyo
Tunavyo eneo linaitwa PANGANIKibaha maili moja mnavyo?
Itega Tunavyo Ila vimetengwa Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa,ambapo bei yake ni kuanzia Million 35 na kuendelea...Ukiachana na Itega tuna Viwanja maeneo mengine Kwa matumizi ya kawaida:Mkuu nataka kiwanja Itega Dodoma kama sqm 1500 mpaka 2000. Kwa uzoefu wako inaweza kuwa bei gani?
Call/SMS/WhatsApp: 0712156900Ofisi zetu Kwa Dar es Salaam zinapatikana Nyuma ya Ubungo plaza, na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall. Karibuni Sana
Call/SMS/WhatsApp: 0712156900View attachment 2197217View attachment 2197218View attachment 2197219View attachment 2197220
Viwanja Vinauzwa Bunju A 
Vippo karibu na hospital ya wilaya.
Vipo karibu na shule ya secondary ya wasichana Mabwe girls.
Vipo Umbali wa 5 km kutoka main road.
Viwanja vimepimwa na vina hati.
Bei ni 25,000@1sqm
Malipo ni cash au Kwa awamu.
Kutembelea site ni kila siku na ni bure kabisa.
Tuna miradi ya Viwanja vingine maeneo ya Pangani Kibaha, Madale, Kisota,Cheka,Mbutu, Vikawe Misugusugu, Mwasonga, na Kwa Dodoma maeneo ya Kitelela, Nala, Chamwino, Chahwa, Mtumba, Ihumwa, Iyumbu, Itega, Mahoma Makulu.
Call/SMS/WhatsApp:0712156900
Nimeingia kwenye hiyo link mbona kiwanja ni 15,000,000 i.e million kumi na Tano na ni sqm 400 ambayo ni Sawa na 37,500 per sqmHii imekaaje?
February mwaka huu bei ilikuwa 15,000/sqm.
Leo bei imepanda hadi 50,000/sqm kwa eneo hilohilo?
![]()
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near youwww.zoomtanzania.com