Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,582
- 28,734
Dah, uliondoka bila kuaga bana, tukawa na wasiwasi kidogo.Nimerudi leo niko mjini asigwa wange! ahsante kwa kunikumbuka. nilienda vijijini field kama mwezi kasoro siku kadhaa
Karibu sana jukwaani , tulikumisijeeeee