FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,139
- 40,824
- Thread starter
- #21
Hakuna series ya 300MB, ni kubwa sana ukizingatia bei ya bundle iko juu sana kwa sasa24 legacy, na Prison Break (new season)
Hakuna series ya 300MB, ni kubwa sana ukizingatia bei ya bundle iko juu sana kwa sasa24 legacy, na Prison Break (new season)
Click 'Create Download link> Click here to download' halafu save file, au copy link na u-paste kwenye download manager, preferrably 'Downloader accelarator plus'(DAP)labda sijui pa ku`play but nimejaribu imekuwa magumashi tu,ngoja nirudie tena,au nipe maelekezo njia ulizotumia mkuu
mkuu hizi makitu naona zimewalenga wenye tecno zao,mbn sisi tunaotumia computer inatugomea?
Hakuna movie Kali kama kuangalia mpira live
Nzuri tuMkuu Quality ikoje?!
Mkuu mbona kimya tenaNzuri tu