CR7 ndio takataka ganii???bado mnaendelea kumtukuza Messi?
Poleniiiiiii
Habari ya dunia ni CR7 baby![]()
Kwan we unamjua yupii????Messi yupi?
Mkwepa kodi.Kwan we unamjua yupii????
bado mnaendelea kumtukuza Messi?
Poleniiiiiii
Habari ya dunia ni CR7 baby![]()
Ni mess kweli mana anakwepa sana kodi.Yessssssssss the king MessiDona
Mkwepa kodi.
we ndio umemjulia kwa sifa hyo????acha mambo ya ajabuu na uongooUongo upi? Kwahiyo wamemsingizia kwa swala la kukwepa kodi? Kama ana sifa nyingine unaijua wewe....mie naijua sifa moja tu "MKWEPA KODI"![]()
![]()
we ndio umemjulia kwa sifa hyo????acha mambo ya ajabuu na uongoo
Messi ni mfalme wa mpiraUongo upi? Kwahiyo wamemsingizia kwa swala la kukwepa kodi? Kama ana sifa nyingine unaijua wewe....mie naijua sifa moja tu "MKWEPA KODI"
Teh teh labda mpira wa kukwepa kodi.Messi ni mfalme wa mpira
Hv kwann mashabiki wa real Madrid mnamchukia messi???Teh teh labda mpira wa kukwepa kodi.
Nyie mnampenda Cr7?Hv kwann mashabiki wa real Madrid mnamchukia messi???
Kwa kauli hii basi sina haja ya kujibu swali lako hapo juu.Cr7 ndio chakula gani hchoo![]()
![]()
mkuu sio WASHABIKI,NI MASHABIKI...Lionel messi
Kwa kauli hii basi sina haja ya kujibu swali lako hapo juu.
Tatzo unajifanya unampenda cr7 kama ndugu yakooKwani kuna tatizo?![]()
![]()
![]()
Tatzo unajifanya unampenda cr7 kama ndugu yakoo



Kumbe na ww ndio walewale???Kwani kuna tatizo?
CR7 baby![]()