Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,466
- 19,496
Football is a Game of Opinions, na kuna wengi wanajaribu kufananisha umahiri wa mchezaji wa kipindi fulani na kipindi kingine; Ingawa ni vigumu na kila mchezaji ana repertoire yake tofauti tofauti ndio maana nikitaka kuwa entertained huenda ningemuangalia Garrincha, Ronaldinho na hata Okocha kuliko hata Messi; ningekuwa natengeneza Timu na nataka clinical finisher huenda nisingemuacha Ronaldo de Lima; LAKINI kuna kuwa na opinion na kuna Kupindisha Data (yaani kutofuata FACTS) hivyo basi ni vema tufanye Dissection ya Messi na Pele
PLAYING POSITION
Messi – Winger / Forward
Kwa aina ya mpira wa sasa na falfalsa ya makocha Messi alianza kama Winger (kama ilivyokuwa kwa kina Henry na Ronaldo) na akawa converted kuwa Forward / Playmaker;
Messi kumfaidi inabidi ujenge timu kwa kutumia strength zake ukimpa mpira anaweza kufungua defence anapenda kwenda kwenye wing na kuingia ndani na mabao yake mengi anayafunga hivyo (ila tukija kwenye taji la playmaker je tunamuhitaji Messi au mtu kama Maestro Andre Pirlo ambaye Pasi yake moja kwa sekunde moja inaweza ikafungua timu ? (Ndio hapo linakuja suala la Greatest of all time Je kina Claude Makalele au Viera na wao tunawaweka wapi)? Unaweza ukasema bila Makalele kwenye ile Galactico (Real Madrid) isingefanya kitu sababu hakuna mkabaji wote ni walikuwa Prima Donnas..., au Toure kwa Barcelona aliwapa kinga / defense ya kufanya wengine waweze kufanya yao...
Pele – Forward
Pele alikuwa Centre Forward anayeshuka mpaka katikati kutafuta na kuchukua mipira au kucheza kama striker wa pili.
PELE STRENGTH Clinical Finisher; Aerial Ability, Physical Strength
Kumbuka kipindi Pele anacheza mwanzoni kulikuwa hakuna Red wala Yellow Card, na faulo za nyuma kilikuwa kitu cha kawaida kwahio kuwapita defender ilihitaji skills na nguvu ya ziada. Pele aliweza kuwapita walinzi kwa urahisi pamoja na yote hayo huku akitumia chenga yake pendwa “dribble da vaca,”
Pele alikuwa ni mtaalamu wa kupiga vichwa, na akicheza kwa flair; ingawa walikuwepo wataalamu wa chenga kumzidi (Garrincha) lakini his eye for goals was second to none at the time
MESSI STRENGTH- Finisher, Vision, Positioning, Dribbler
Messi ana low center of gravity kwahio kumuangusha sio rahisi, na kuwapita walinzi sio kazi kwake ingawa ana bahati ya kucheza kipindi ambacho strikers wanalindwa hivyo kutochezewa rafu bahati ambayo Pele na wenzake walikuwa hawana...
BIASED OPINIONS
Pele alicheza kipindi ambacho hakuna Sheria za Offside hivyo alifunga Magoli Mengi (SI KWELI)
Ukiangalia sheria ya offside imebadilika tokea miaka ya 1800; hapo mwanzo ilikuwa ngumu zaidi sababu ilitakiwa kuwe na walinzi watatu mbele yako kujumlisha na kipa ndio sio offside; ikaja wawili na miaka ya tisini wakaleta rule ya kwamba hata ukiwa marginally na walinzi yaani mbele yako kuna kipa tu upo onside....
Hii kwa ma-striker wa sasa imekuwa rahisi na kwa ma-defender hali imekuwa ngumu..., watu kama Ruud Van Nistelrooy, Anelka, Henry, Andy Cole waliitumia sana hii mtu anakaa na wewe sambamba au anakuwa offside position...., watu kama kina David Beckham wakati wanapiga pasi (instantly) jamaa wanarudi usawa wa defender na kuukimbilia mpira / pasi.., Hivyo sio kweli kwamba Strikers wa sasa wana shida bali defenders wa sasa ndio wana shida...
Ballon d’Ors
Nadhani wanaoleta hii kitu katika maongezi ya Greatest of all Time hawajui hata hii Award inapatikana vipi; na hawajui kwamba Pele sio kwamba hakuweza kucheza Europe bali nchi yake ilimfanya Nyara ya Serikali ili asiweze kuondoka akiwa kwenye Peak... Anyway, waanzilishi wa hii Award wamerudi nyuma na kusema kama Pele angekuwepo kwenye voting basi angekuwa na hizi Award sawa na Messi
France Football claim Pele has same number of Ballon d'Ors as Lionel Messi | SportsJOE.ie
MESSI AND PELE STATS
(Kwenye Assists ni Debatable zamani zilikuwa haziwi recorded – na hizi game ni Official Pele alicheza nyingi zaidi)
Messi
Pele
There you have it There is only one King Pele alafu wengine wengi....
Na kwenye mpira kuna entertainers, kuna watu ni clinical kuna watu wana footballing Brain kama Andre Pirlo, kuna kina Glenn Hoddle na hata Bongo tuna kina OCD, Hussein Amani Masha au hata Samli Ayoub (Beki Mstaarabu) - Kipindi kile cha Rafu na Undava undava mtu anamaliza mpira jezi bado safi (alafu ni Beki) - Avumae Papa Baharini ingawa wengi wapo ila bado Papa yupo na Papa ni Pele

Team | Games | Goals | Assists | Ratio |
PSG | 53 | 23 | 28 | 0.43 |
Barcelona | 778 | 672 | 269 | 0.86 |
Argentina | 172 | 98 | 53 | 0.57 |
Total | 1003 | 793 | 350 | 0.79 |
Pele
Team | Games | Goals | Assists | Ratio |
Santos FC | 656 | 643 | 277 | 0.98 |
Cosmos NY | 64 | 37 | 23 | 0.58 |
Brazil | 92 | 77 | 43 | 0.84 |
Total | 812 | 757 | 343 | 0.93 |