Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Lionel Messi 10 Legendary Goals
Hapana hii haihusiani na ule uzi japo muhusika ni mmoja hapa ni video tuMbona kuna uzi maalum wa messi
unganisheni kule tuu
Acheni usumbufuHapana hii haihusiani na ule uzi japo muhusika ni mmoja hapa ni video tu
Acheni usumbufu
Hebu mods unganisheni uzi huu ipo thread ya messi
kwani inakuuma nini zikiwa zote pamoja na istoshe maudhui hayafananiMtatulazimishaje kila tukifungua jukwaa tumuone Messi, wengine tuna alergy naye kwa kweli![]()
![]()
![]()
kwani inakuuma nini zikiwa zote pamoja na istoshe maudhui hayafanani
Mtatulazimishaje kila tukifungua jukwaa tumuone Messi, wengine tuna alergy naye kwa kweli
na badoAisee hakuna kama MessiMzee wa majiji shikamoo... 😀😀he is marvellous
Jamani mi nauliza tu:
Kuna player aliyejulikana zaidi na zaidi kama Messi ktk huu ulimwengu? Yani mpaka watoto wadogo wanampenda....duh!
Mtatulazimishaje kila tukifungua jukwaa tumuone Messi, wengine tuna alergy naye kwa kweli