Special Thread: Merry X-Mas & Happy New Year

The Retired Planner

Senior Member
Sep 22, 2015
189
250
WanaJF,

Hii ni special kwa kuwatakia watu wako watatu wa karibu "special season greetings" kwa msimu huu wa MWAKA 2016 nakuwa ukumbusho wako kwa mengi ambayo Mungu amekuepushia wewe na hao watu wako wa karibu. Ni vzr ukawataja kwa nafasi zao kwako na "initials" za majina yao:

Mimi naanza;

Merry X-Mas & Happy New Year

Mke wangu Mpenzi - ACK
Mama yangu Mzazi - CKH
Baba yangu Mzazi - HKM

Nawasilisha,

TRP.
 

Iceman 3D

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
20,629
2,000
Merry christ mass kwa Wana jf wote, hasa kwa wale ambao tunapeana sapot mbali mbali hapa
Wakiwakilishwa na
Mrs Van
supermarket
Sakayo
geniveros
Shunie
me and I
isho boy

Merry christmass kwa mashabiki wote wa
Man utd
Real madrid
Yanga
Juventus.

Merry christmass and happy new year hata wewe ambaye sija kutaja na unajua kuwa ni watu wa maana sana kwangu.
 

The Retired Planner

Senior Member
Sep 22, 2015
189
250
Merry christ mass kwa Wana jf wote, hasa kwa wale ambao tunapeana sapot mbali mbali hapa
Wakiwakilishwa na
Mrs Van
supermarket
Sakayo
geniveros
Shunie
me and I
isho boy

Merry christmass kwa mashabiki wote wa
Man utd
Real madrid
Yanga
Juventus.

Merry christmass and happy new year hata wewe ambaye sija kutaja na unajua kuwa ni watu wa maana sana kwangu.
Daah, mkuu umepitiliza idadi ujue hata mm ningeweza kuwaweka wote hapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom