Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

Ivy Aguas

Member
Jun 29, 2018
34
95
Hello,, habari,,, ninashida kidogo kwenye application za mkopo,,, hivi kwa mtu anayetokea diploma na anataka kuomba mkopo ili kuendeoea na degree,,, ataambatanisha Nini ikiwa cheti chake bado hakijatoka na application za mkopo zinakaribia deadline,,, naomba mnisaidie hapo
Use transcript Cha diploma
 

9696

Member
Dec 24, 2017
14
45
Habari wakuu,
Hiv ni kweli Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imefungua maombi upya?
 

Johnnybravo

New Member
Nov 29, 2019
1
20
Wakuu hivi hizi appeals bodi ya mikopo majibu wanatoa baada ya muda gani?
Mwenye taarifa atujuze tafadhali .
 
Top Bottom