Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Messages
503
Points
1,000
Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2016
503 1,000
MAELEKEZO MAALUMU KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA NA DIPLOMA WANAOTARAJIA KUOMBA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2019/2020

🎓🎓🎓🎓🎓
STEP 1
Swali je una sifa za kuomba mkopo?

Je watu gani wana sifa za kuomba mkopo?

majibu haya hapa

STEP 2
Baada ya kukizi vigezo vya hatua ya kwanza basi unakuja hatua ya pili

swali je natakiwa niwe na vitu gani ili niweze kuomba mkopo

natakiwa kuandaa document gani

majibu haya hapa

STEP 3
Baada ya kukizi vigezo vya hatua ya pili basi unakuja hatua ya tatu

swali vitu gani vinatakiwa kuhakikiwa na vinahakikiwa kwa mfumo gani

majibu haya hapa

STEP 4
Baada ya kukizi vigezo vya hatua ya tatu basi unakuja hatua ya nne

je nawezaje kutumia mfumo wa bodi na kutuma maombi ya mkopo

je nawezaje kulipia form ya mkopo

je nawezaje kujaza form ya mkopo

je nitagundua vipi kuna makosa kwenye form yangu niliyojaza

majibu haya hapa

STEP 5
Baada ya kumaliza hatua ya nne basi unakuja hatua ya 5

hapa utakuwa umeshatuma maombi ya heslb

Swali je nitajua vipi kama nimepata mkopo

je bodi wakipitia form yangu vitu gani wataangalia ili nipate au kunyimwa mkopo

je vitu gani vitaniongezea nafasi ya kupata mkopo

_je kwanini naweza kupata au kukosa mkopo

majibu haya hapa

STEP 6
Baada ya kumaliza hatua ya tano basi unakuja hatua ya 6

kama utakuwa umepata mkopo basi hapa utaangalia kiwango cha mkopo ulichopata

Je kwa ujumla mkopo una cover vitu gani

Majibu haya hapa

kama utakosa mkopo nini cha kufanya

(i)bodi ya mkopo hutoa majina ya waliopangiwa mkopo kwa awamu zaidi ya moja hivyo ukikosa awamu ya kwanza subiri awamu zinazofuata mpaka pale bodi itakapotangaza haipangii tena wanafunzi mkopo

(ii)baada ya bodi kutangaza imefikia mwisho wa kupanga mkopo basi kutafunguliwa dirisha lingine la ku apeal (kukata rufaa) hivyo utakata rufaa either kulalamika kuhusu kukosa mkopo au kupata kiwango kidogo cha mkopo

Our motto
Elimu ni mwanga wa jamii

_UKIPATA TAARIFA HIZI SHARE NA MWENZAKO IWAFIKIE WAOMBAJI MKOPO WOTE _
 
B

bieberchoculate

New Member
Joined
Jan 7, 2019
Messages
4
Points
20
B

bieberchoculate

New Member
Joined Jan 7, 2019
4 20
Hivi kwa mwanafunzi alietoka diploma anatakiwa awe na g.p.a ya ngapi ili kupata mkopo wa kujiunga na ngazi ya degree???
 
B

bieberchoculate

New Member
Joined
Jan 7, 2019
Messages
4
Points
20
B

bieberchoculate

New Member
Joined Jan 7, 2019
4 20
Msaada tafadhali kwa mwaka wa masomo 2019/2020
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,498
Top