Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

Hello,, habari,,, ninashida kidogo kwenye application za mkopo,,, hivi kwa mtu anayetokea diploma na anataka kuomba mkopo ili kuendeoea na degree,,, ataambatanisha Nini ikiwa cheti chake bado hakijatoka na application za mkopo zinakaribia deadline,,, naomba mnisaidie hapo
Use transcript Cha diploma
 
Wakuu hivi hizi appeals bodi ya mikopo majibu wanatoa baada ya muda gani?
Mwenye taarifa atujuze tafadhali .
 
Wale wote wanaotaka kuomba mkopo (HESLB) Na wanaotaka kuomba vyuo mbali mbali.
- Nipo kuwasaidia wale wote wenye uhitaji wa ku apply mkopo na chuo. Au kuwaongoza hatua baada ya hatua jinsi ya ku apply.
- Vyote hivyo kuanzia mwanzo mpaka kukamilika nakufanyia kwa bei poa ya elfu tano tu (5,000/= tu)
- Huku nikikupatia na username pamoja na password zako kujihakikishia nilichofany na kuangalia account yko pale itakapohitajika.
- Huduma hii ni kwa wote/popote ulipo ndani ya Tanzania hii. Kila kitu kitaenda sawa. Maan nimepata maswali mengi kwa walio mikoani.
- Nitafute whatsapp au sms za kawaida kupitia namba hizi 0734131743.
- Vitu vyote vinavyohitajika wakati wa uombaji mkopo na chuo nitakueleza ukinitafuta kupitia namba izo apo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Habari,
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu na hili,
Kuna dogo hana baba (amefariki) na cheti cha kifo kimekuwa na mzunguko mrefu, hadi mda huu bado hajakipata na siyo rahisi akipate hivi karbu kutokana na mambo ya uridhi na mambo ya ukoo,
SWALI
Leo alikuwa anajaze form ya mkopo imefikia kipengele cha wazazi ameandika hana baba system ikaomba namba ya cheti cha kifo,
Je afanye nini na system haiwezi kuruka nafasi,na ukizingatia hana baba kweli.
Msaada kwa mwenye ufahamu na hili asanteni.
 
Rita wamenipa kali ya mwaka. Katika kuomba kuthibitishiwa cheti cha kuzaliwa ninefuata taratibu zoote kamili na kuapload cheti changu cha kuzaliwa kama kilivyo. Kwenye uthibitisho naletewa cheti cha mtu mwingine. Ninechoka kwa kweli. Msaada jaman
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom