Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

KMMS

Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
98
Points
150

KMMS

Member
Joined Jan 24, 2017
98 150
Wakuu mnisaidie hapa!
Nina ndugu yangu kaajiriwa tangu 2013 Idara ya Elimu Msingi,yeye ni Mwalimu Grade A,hakusoma Elimu ya juu,I mean yeye ni Certificate,cha ajabu mshahara wa mwezi jana Disemba na Januari mwaka huu wanamkata mkopo wa Elimu ya Juu,Kamshahara kenyewe hatari tupu,amepeleka malalamiko wilayani kaambiwa andika barua alafu ipeleke makao makuu yani mtumishi huyo apeleke mwenyewe ofisi ya bodi ya mikopo,Huku aliko ni mbali na hali ya maisha mwaijua, Sasa nisaidieni kwamba ni njia gani aitumie ambayo itakuwa nafuu ili awasilishe na kutatua shida yake? Natanguliza shukrani.
 
i 37

Senior Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
106
Points
195

i 37

Senior Member
Joined Dec 6, 2018
106 195
Nataka kufungua account ya visa au mastercard lakini cjui ni bank gani ndo nzuri na yenye makato nafuuu na usalama wa wa hela napo fanya online transactions kwa mtaalamu anaezifahamu naomba kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
2,630
Points
2,000

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
2,630 2,000
Wakuu mnisaidie hapa!
Nina ndugu yangu kaajiriwa tangu 2013 Idara ya Elimu Msingi,yeye ni Mwalimu Grade A,hakusoma Elimu ya juu,I mean yeye ni Certificate,cha ajabu mshahara wa mwezi jana Disemba na Januari mwaka huu wanamkata mkopo wa Elimu ya Juu,Kamshahara kenyewe hatari tupu,amepeleka malalamiko wilayani kaambiwa andika barua alafu ipeleke makao makuu yani mtumishi huyo apeleke mwenyewe ofisi ya bodi ya mikopo,Huku aliko ni mbali na hali ya maisha mwaijua, Sasa nisaidieni kwamba ni njia gani aitumie ambayo itakuwa nafuu ili awasilishe na kutatua shida yake? Natanguliza shukrani.
Si useme tu muathirika wa hayo makato ni wewe mwenyewe tukusaidie!
 
Francis3

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Messages
494
Points
1,000

Francis3

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2016
494 1,000
kama unaomba chuo na mkopo mwaka huu pitia hizi link kwa kiwango kikubwa zitakusaidia

step zile ambazo ni general kuomba mkopo hizi hapa pia zilitumika mwaka jana

badhi ya vigezo vya kupata mkopo ambavyo heslb huviangalia sana

minimum requirement za kujiunga na vyuo vikuu katika programme mbalimbali

list ya website za vyuo kwa ajili ya kufanya application

jinsi ya kuverify vyet rita
 
gentleman92

Member
Joined
Apr 26, 2019
Messages
18
Points
45

gentleman92

Member
Joined Apr 26, 2019
18 45
walimu bana anaanza kukopa benki
akimaliza ana top up
akimaliza anahamia saccos
anahamia vikoba
anahamia salary advance
anahamia m power
anahamia tala
anahamia m kopa

baada ya hapo anahamia dukani kwa mangi

hapoo sasa ndo paleee anapoamua ku bet ili maisha yaendeleee
 
Forum statistics

Threads 1,380,726
Members 525,856
Posts 33,777,818
Top