Special Thread Kwa Tuliowahi Kudhulumiwa.

Special Thread Kwa Tuliowahi Kudhulumiwa.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,194
Reaction score
2,063
Habari za muda huu..Mamong'oo Mara ng'oo kalangolo silechi manjelee,,Mko full bas aina gweraa.!Nimeamua kusololesha.nyuzi hii hapa fiade kwa wale ambao tushawahi kudhulumiwa mazaga etu,iwe Ting'ling'li,Bangaloo(Jax),na mazaga mengine shazi,,Me nakumbuka mwaka juzi(2017)pale fas ya Sombetiiwise(Sombetini)kuna mamiloo alitokeaga kunimanya aka'fall in love ile tepetepe bablai,Bas bhana Yule Mamsi alikua anasololoa mokomoko toka kule ndichi sombetiiwise hadi fas ya Kijengejuu ananikuta chaliako nime'chill nameremeta tu ki'tag ubavu,Inshort malavidavi yalizidi kinyama hadi mamiloo akaamua kunipa hilo li'phonenga(Kitilili),,Bahati mbaya natoka zangu chimbo kula vitu vyangu ambavyo sio vya duniani,Babaako nipo road bahati mbaya kitilili ika'drop danta kwenye lami ikapasuka daah.!!Bas bhana nikamwambia manzi angu akanipa jax(Hela)niipeleke kwa fundi ipewe marekebisho iwe yechu,Chaliangu uwezi amini ile nimeifikisha tu fas duas kwa fundi ng'ora akawaka kinyama,Mhhh kwani vipi dingii??nilimuuliza akasema ng'ora kaimanya ni yakwake ila alimnunulia yule mamiloo na akadai bado ni manzi ake,Nilidevela kisoro ariff coz alinionyesha hadi picha zake kweli ni yuleyule Maimuna sumari wangu,,Sikua na namna ya kumletea Ngendembwee wala perepete mingi pale kati nikaamua kuvunga tu kindezi,,Kwahyo Nikawa nimedhulumiwa Ng'ora angu ki'design iyo,ata manzi sikumwambia wala kumuuliza kitu oote,aikatai aikatox dingii nikampiga 70 nikapita ivi coz sinaga njaro na ma'manzi na waga sihanyi kikunguru...Karibuni wajuba na nyie mtupe exprience zenu mlivodhulumiwa asee.!!


@ChaliiYaKijengeJuu
 
Eeehh ni shigda arifu,asee uyondingiliii ungemfanyia niaje
 
Umemerete zeeche butee ci mure taparee mweree huro zeeche mwanduge.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Write your reply...yaani unamaanisha yani ma mon'goo wote mkutane hapa, mazembe yote
 
Haina marinjirinji dingidee,raiaa wanakuja na maexperience yao arifu.wengine ngoja tuchill tumanye maujuzi ya kukwepa mambishe kama izo.
 
Achen kupeana faraja mitandaoni. Tokeni nje ya keyboard mka deal na wazurumati wenu jino kwa jino.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom