Special thread for Engineers

Special thread for Engineers

Dah..... Shida kubwa ya coet ni madesa... .wahadhiri ni wavivu sana....ue au test au assignment aliyoitoa mwaka uliyopita huwa anabadilisha tarehe tu..... Hii kitu ndiyo ilinifanya niachane na Coet.. Ukimchukua engineer wa udsm kwenye field ni mbovu kulinganisha na B Eng wa DIT.... Huu ndiyo ukweli mchungu
Hayo ni maneno ya kujifariji kwa wanafunzi wa vyuo vingine hasa waliokosa nafasi UDSM
CoET iko vizuri japo Mimi sikusoma CoET
Nilisoma CoNAS hapo Jirani yenu wanaCoET wazee wa slab
 
acha Rohombaya si tumedisco wote hapo..Tukaenda DIT tukawa vipanga? Baraza lifurahi.
 
jamani wale vijana wetu tunaosoma apo CoET hii thread ni special kwa ajil yenu...karibun mfunguke hapa...tuzungumze na kutoa changamoto tulizonazo na namna ya kuzitatua....ugumu wa kozi zetu pia na hatua tunayochukua ku copy nazo....with Great Love Nawakaribissha saanaa..!![emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Teh teh teh
 
acha Rohombaya si tumedisco wote hapo..Tukaenda DIT tukawa vipanga? Baraza lifurahi.
Dah.... Kudisko wala siyo kwamba huwezi mambo... Bali hauendani na mfumo wa ufundishaji na utahini....ndiyo maana mkawa vipanga wa DIT
Mimi Sijasoma DIT..ila engineer wa DIT kwenye field yuko vizuri sana kuliko wa CoET... Na hili Nina uhakika nalo kwani nilikuwa nachukua mainjinia fresh kila mwaka[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hayo ni maneno ya kujifariji kwa wanafunzi wa vyuo vingine hasa waliokosa nafasi UDSM
CoET iko vizuri japo Mimi sikusoma CoET
Nilisoma CoNAS hapo Jirani yenu wanaCoET wazee wa slab
Dah..Umewafanyia utafiti field? Au unaongea tu? Nimesoma hapo CoET kwa muda naelewa vizuri sana..Sikufurahishwa na ufundishaji wao....nikawabwaga ili nifanye mambo ya msingi🙂
 
Dah..Umewafanyia utafiti field? Au unaongea tu? Nimesoma hapo CoET kwa muda naelewa vizuri sana..Sikufurahishwa na ufundishaji wao....nikawabwaga ili nifanye mambo ya msingi🙂
Uwe honest uliwabwaga au ulibwagwa mkuu?[emoji23]

CoET ukikaa kizembe wanakula kichwa unakimbilia DIT au SAUT au Kampala gongo la mboto sasa usiseme uliwabwaga[emoji23]
 
Back
Top Bottom