Special thread for Engineers

TANESCO INAKUHUSU
Thubutu...nimenunua
c96bb94741013c64ba136c10fbdd373a.jpg
83bd6e26283104e2d51fdb967b7f4328.jpg

Mimi naomba msaada, nahitaji kujua ni maeneo gani mazuri naweza fanya field kama electrical engineer kwa hapa Dar es Salaam?
 
Upande wetu kuna changamoto nyingi sana tukianzia vyuoni hadi mtaani. Hatuthaminiwi na jamii, ukiomba field unanyimwa, kejeli nyingi kwenye makampuni hasa private sector. Muda mwingi tunawaza namna ya kujikwamua kimaisha kuliko kubuni vitu vya kuisaidia jamii, pia siasa imetuharibu sana badala ya kuangalia fani zetu then tumekimbilia siasa na kuwa wapiga makofi wazuri sana with slow thinking without question
Kwanini jamii haituthamini?
 
Wengi tunakwama sababu hatuna mipango endelevu ya kupanua elimu yetu Mara baada ya kumaliza masomo....engineering is a life long learning professional. It requires those who do it to continually invest in life learning mission
 
Ha ha mkuu mie nataka kujua niweke/ niandike nini kwenye report yangu. Maana nimepanga kufika 2017 niwe registered professional engineer. Nimegraduate 2014
Wapi mkuu. COET?? kama ni hapo basi same year tumehitimu. Pamoja sana
 
Mods hebu fanyeni editing kidogo ya Hio Heading, Hapo pa for na sio Foe, Ukisema Foe wale wakongwe wezangu moja kwa moja akili zao wanazipeleka Faculty of Engineers (Foe) kwa sasa College of Engineers (COET) Mlimani, Back to the topics Bongo innovation ni ndogo sana unajua kila kitu kinaenda kwa support na msaada wa walio tangulia sasa kama engineers wa miaka hio hawana hata muda wa kufika vyuo walivo somea na kufanya events unategemea nini? WAHANDISI tumekuwa watu wa kunenepeana Full vitambi na kutembea na Gari za umma tu tukihema juu juu yani ni kama mtu analipiza machungu ya msuli wa College
:D :D :D :D :D :D
 
ahsanteni vijana kwa kuleta thread hii...mm nasoma Civil Pale CoET lakini sion kama vitu vipo practicaly oriented yan msuli ni wa zaid ya advance....skutarajia kama ndo lyf la uhandis na finaly sielew mm kama mhandisi natakiwa nifanye nn kuonesha ubora wangu na competence yangu
Elemu ya darasani inakupa foundation ya engineering. Kule kazini unahitaji knowledge ya vitu vidogo vidogo ili uweze kusolve matatizo ya ki engineer. Knowledge hiyo inapatikana darasani
 
Wengi tunakwama sababu hatuna mipango endelevu ya kupanua elimu yetu Mara baada ya kumaliza masomo....engineering is a life long learning professional. It requires those who do it to continually invest in life learning mission
Asante sana mkuu. Kuna jamaa zangu nikiwambia nataka kujiendeleza wananambia mie punguani. Naona vijana tena engineers wanawaza kula ujana ata muda wa kusoma e book hawana. Unabakia na misifa kibao wakati out put yako ni zero
 
They kill their professional...before knowing they will wait for annual ERB meeting to receive miracles that will never come
 
They kill their professional...before knowing they will wait for annual ERB meeting to receive miracles that will never come
Most of us we're practising engineering without getting registered. Government and private sector should keep eyes on this matter. Graduates must be mentored in the proper scheme to develop engineering career and priority should be given to those who show up only
 
Who enforces the professional practise? It won't happen by accident
 
Dah..... Shida kubwa ya coet ni madesa... .wahadhiri ni wavivu sana....ue au test au assignment aliyoitoa mwaka uliyopita huwa anabadilisha tarehe tu..... Hii kitu ndiyo ilinifanya niachane na Coet.. Ukimchukua engineer wa udsm kwenye field ni mbovu kulinganisha na B Eng wa DIT.... Huu ndiyo ukweli mchungu
 
Hahahahaaa,Nimesoma CoeT.Acha kukariri
 
Back
Top Bottom