njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,802
Hili ni jukwaa special kwa wahandisi... tueleze matatizo gani yanawa-face wahandisi wengi wa Tanzania...
Kwa maana wiki uliyopita kupitia ERB inaonyesha Tanzania ina wahandisi wengi kuliko Kenya.. lakin teknolojia Tanzania ni ndogo ukilinganisha na Kenya...