Special Thread: Dalali wa Viwanja, Nyumba, Mashamba, Magari nk

Aisee natafuta ground walau iwe karibu na mjini mpenzi ila sasa vyote vizuri navyoona viko zaidi ya 22kms toka City centre. Nikawaza nichungulie huko Chanika maana ni almost 15kms toka mjini. Hata zikiwa zaidi ila zisifike 20kms ila kwa hizo story za ushirikina aisee aheri niende mbali zaidi. Sihitaji kabisa maswala ya kurogana na mawivu ya kiswahili.
Unapenda mjini kufanya nini aisee usafiri si upo
 
Yeah usafiri upo ila sasa muda mwingi kuutumia barabarani inakuwa tatizo mchumba!
Kutoka Chanika hadi mjini hayazidi masaa mawili mbona kitu cha kawaida tu mpenzi halafu siku hizi hakuna foleni sana
 
Uswahili mwingi, ushirikina, fujo za vigoma vya kumtoa mwali na kila aina ya ushenzi wa kizaramo. Kifupi kwa mpambanaji hapamfai, hakuna ustaarabu.
Tatizo kule kuna bado zile jamii za asili,Zaramo's Wandengereko na Wamakonde wakuzaliwa.ogopa sana kukaa katikati ya jamii iliyozoea ukipata 5K wewe maisha umeshayamaliza wakikuona una mipango ya miaka 10 mbele hawapendi ndo zinapoanza hizi vurugu za kulogana logana hovyo na kukuonyesha roho mbaya.

Kule hukuti nyumba za blocks {labda kwa sasa kwa sababu wageni wameanza kuenea} ni za tembe na udongo halafu hazizidi vyumba vitatu.
 
Uko sahihi kabisa, kwa kijana mwenye mipango endelevu siwezi kumshauri akaishi chanika.
 
Tatizo kule kuna bado zile jamii za asili,Zaramo's Wandengereko na Wamakonde wakuzaliwa.ogopa sana kukaa katikati ya jamii iliyozoea ukipata 5K wewe maisha umeshayamaliza wakikuona una mipango ya miaka 10 mbele hawapendi ndo zinapoanza hizi vurugu za kulogana logana hovyo na kukuonyesha roho mbaya.

Kule hukuti nyumba za blocks {labda kwa sasa kwa sababu wageni wameanza kuenea} ni za tembe na udongo halafu hazizidi vyumba vitatu.
We jamaa sijajua unaongelea chanika ya mwaka gani hapa!??
Kuna mijumba ya hatari kabisa kwa sasa hadi mawaziri wanaishi huko
 
[emoji16][emoji16][emoji16] huko ni kijijini bro. Hata njia za kufika ni mtihani. Niliwai kwenda na private, miundombinu bado sana. Network ipo chini kama sio hakuna kabisa sehemu nyingine.

Umeme kuna solar tu huko
Ulifika huko mwaka gani mkuu?
 
We jamaa sijajua unaongelea chanika ya mwaka gani hapa!??
Kuna mijumba ya hatari kabisa kwa sasa hadi mawaziri wanaishi huko
Bro sijasema hazipo angalia paragraph ya mwisho soma nilichokiandika kwenye mabano.
 
Viwanja vinauzwa Chanika kwa ndevu viwanja vina ukubwa wa 20 kwa 20 na viko kwenye tambarale viwanja vina miundombinu kama barabara za mitaa umeme umbali ni mwendo wa dakika 3 kutoka kituoni kwa mawasiliano nicheck
0718239997

20200117_173626.jpeg
20200117_173607.jpeg
 
Back
Top Bottom