Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Chile wanaanza...

Fernandez...anapataaa

Chile 1 - 0 Argentina
 
Unaambiwa wa'america kusin hawajui kupga penalt za kuburuz
 
Vidal...anapataaa

Chile 2 - 1 Argentina

Romero alishaucheza
 
Messi akipata basi roho yangu inatulia ningeweka wapi uso Wangu kwa Papupi?
 
Last edited by a moderator:
Higuain...anakosaaa

Chile 2 - 1 Argentina

Anapiga mnazi...huyu sio mpigaji mzuri
 
Back
Top Bottom