everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Nataka tu nikukumbushe katika stats zangu sijawahi kupoteza fainali..
We have the same record......
Nataka tu nikukumbushe katika stats zangu sijawahi kupoteza fainali..
Kocha wa Chile ana mambo kama Marcelo Bielsa...
Yaani muda wote yeye ni kutembea tembea tu kulia, kushoto...
Haha you hurt my feelings.
We have the same record......
Hahaha World Cup ulikuwa Ujerumani?
Hahaha World Cup ulikuwa Ujerumani?
Hahah.. utakosa mema ya nchi wewe, Kausha jifanye kama hauon
Samahanini dk ya ngapi?? Nimeachwa ndani mwenyewe
Hapa utamu ni pale mashabiki wa United na Arsenal wataanza kugombania nani ameshinda hili kombe. Hehe Prem-faces bana
Sanchez acha kulia wewe kaza mwili.....
Sanchez acha kulia wewe kaza mwili.....
Naomba maji ya kunywa please.............Tuache unafiki leo Chile watamu zaidi. .......
Naona mko 12 uwanjani, hongereni. Pamoja na hayo leo vichwa vyenu chini.
Naomba maji ya kunywa please.............Tuache unafiki leo Chile watamu zaidi. .......