Ya kwenye chupa au glass. Naona koo limekukauka kwa hofu.
Hahaha pole mama. Argentina sio wakali kivile, wana vipaji ila havufanyi kazi kwa pamoja.
Haya wale timu kubinyaaa..
Umeanza sumu eeeh!!!
Matutaaaa!!!! Muda wa mwenye Bahati yake. ....
Naona kulala umeshindwa, kukaa umeshindwa kusimama umeshindwa upo upo tu na koo limekukauka. Pole kwa kipigo hiki cha leo jaribuni tena 2019 kule Brazil.
Hahahhaha sogea hapa karibu yangu nimenyeeee!!!!
Hmmmm! unamenya nini?
Hahahhaha sogea hapa karibu yangu nimenyeeee!!!!